Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,449
- 10,756
Hawa wamiliki wa huduma ya mwendokasi ni wahujumi uchumi. Inakuingia vipi akilini kuona magari mengi yameegeshwa na huku abiria wamepangwa foleni. Mamlaka husika fanyeni maamuzi magumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
