Umesahau na mwendo wa madereva kama wanakimbizwa, mtu anajua na kuona kabisa kivuko cha waenda kwa miguu au taa zipo karibu bado Nkuja kwa mwendo mkubwa sana halafu breki ghafla abiria woote wanasukumana.
Kwanza abiria wanakata tiketi, kisha wanasubiri gari zaidi ya saa moja.
Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya vituo havina viti vya kupumzika abiria wala vyoo.
Yaani abiria wa mwendokasi wamekuwa kama watumwa kwani ukisha ingia kituoni huwezi kutoka kwenda kujisaidia nje ya kituo kisha urudi na kuendelea na safari yako.
Endepo ukifanya hivyo lazima ukate tena tiketi, sasa jamani mnategemea watu wajisaidie wapi ilhali wanasubiri magari muda mrefu?
Hahaha hii Kali[emoji3]niliwahi kusikia mtu akisema kuwa madereva hufanya vile ili kuwachekecha watu watoshe vizuri haswa wale wagumu wa kusogea mbele
Panda daladala mkuuKwanza abiria wanakata tiketi, kisha wanasubiri gari zaidi ya saa moja.
Kinachosikitisha ni kuwa baadhi ya vituo havina viti vya kupumzika abiria wala vyoo.
Yaani abiria wa mwendokasi wamekuwa kama watumwa kwani ukisha ingia kituoni huwezi kutoka kwenda kujisaidia nje ya kituo kisha urudi na kuendelea na safari yako.
Endepo ukifanya hivyo lazima ukate tena tiketi, sasa jamani mnategemea watu wajisaidie wapi ilhali wanasubiri magari muda mrefu?
Ipo siku videvu vitabonyea sababu mara nyingi kidevu kinakuwa kwenye bega la abiria mwenzakoUmesahau na mwendo wa madereva kama wanakimbizwa, mtu anajua na kuona kabisa kivuko cha waenda kwa miguu au taa zipo karibu bado Nkuja kwa mwendo mkubwa sana halafu breki ghafla abiria woote wanasukumana.