Mwendokasi mpya zimewasili ✅

Dear_me_

Member
Joined
Dec 31, 2022
Posts
43
Reaction score
86
Tanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace
 

Attachments

  • temp_image_E3FCEEA1-E4F2-4A8B-A283-C85FE99F7AA9.jpeg
    465.5 KB · Views: 14
  • temp_image_091EFBA3-2DF4-4B40-81B3-C1F1F3D568B2.jpeg
    411 KB · Views: 12
Tanzania ikiwa kwenye huzuni na majonzi kuondokewa na ndugu/Mheshimiwa na Mmbunge JOB YUSTINO NDUGAI Rest in peace


Usiku wa juzi na jana tunaendelea kushusha mabasi mapya kutoka china 🔥🔥

Tupo live apa badnarini ICD Get na.5
Zinatumia nishati gani,au ni mkondo wa Dp world
 
1. Tufanye recruitment mpya ya Madereva.. hawana Customers care.. wamejisahau.. wanapitiliza Vituo bila sababu za Msingi/ Kufunga / kuchelewa kufungua Milango kwa abiria
2. Tuwe na kituo cha matengenezo.. empowering financially & Human resources.. Technical staffs
 
Kwa hiyo na hayo yakiharibika tunaagiza mengine hakuna haja ya kutengeneza eti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…