Mwendokasi majanga

Ila kiujumla gari zenye engine nyuma ni tatizo cjui y haya magari yalipendekezwa kwa sababu gani au ndio 10%

Heri is sikukuu kwa ujumla
 
Duh sipati picha abiria waliyokuwemo ndani jinsi walivyo struggle kutoka na kusepa
 
Duh sipati picha abiria waliyokuwemo ndani jinsi walivyo struggle kutoka na kusepa
Bora kama lilikuwa hajijajaza sana mkuu, maana ukipanda pale gerezani ya kimara duuh unaganda tu
 
Ameripoti jamani, mbona umeshamwelewa negatively? Wabongo bwana......
Shida nikwamba kila jambo saiz Tz linahusishwa na Siasa tu mkuu, Kwahiyo msamehe nayeye yupo mlengo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…