Yugu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 1,080
- 327
Aisseee kwa nn unamfanya mwenzio mateka![]()
Hii ni kama mahusiano yangu na baby wangu japo hatujaoana yeye akinuna huwa ananisusa na kutaka kuondoka kabsa... ila kwa kuwa nimemsoma tabia yake hata hanisumbui... Ana wivu balaaa hata meseji ikiingia tu Kwenye simu yangu anadai ni ya hawala anasirika balaaa... kama vipi wewe msome hapendi vitu gani hapo ndo mtaenda na wewe unatakiwa uonyeshe kumjali ili ajione ni wa maana na anapendwa... 😂 wanawake ni viumbe dhaifuuu😍😍
yaani ni kama ccm