Mwendo huu sidhani kama tutafika, tukipishana jambo kidogo tu kasusa

Wala si utoto!! na sikuwa hakupendi....Anakupenda sana anapenda kudeka na kubembelezwa tu na hilo siyo tatizo ukizoea hali yake na kuijua kuishi naye
Mkiwa na tatizo usiforce liishe mwache aongee mpaka amalize na umsikilize.
Onesha unajali hisia zake na anachokisema....then mbembeleze kwa kauli nzuri za mahaba ikiwezekana mpe na mbo!
Hatakua na kitabia hicho tena! mtaishi kwa amani

Mpe na mbo..
 
Nimekuanae kwa takribani mwezi mmoja na nusu sasa. Yuko very romantic, sweet tender loving! Cha kushangaza najihisi kama nashindwa kumzoea hivi maana kila tukipishana kwa jambo hata liwe dogo kiasi gani basi anakuwa kama kasusa.

Indirectly tukilizungumzia tatizo tukamaliza anadai yuko sawa ila kimtindo kunakuwa na mis-treatment flani anayoidhihirisha hata kwa kauli tu, inakuwa kama namlazimisha kuongea ikiwa yeye hana hamu tena ingawa anakuwa ananijibu on time.

Nimekuja kwenu wanajamvi, kama kuna mtu ana uzoefu na aina hii ya wanawake.Tunaishi nao vipi jamani? How to deal with it! Naona kama nitashindwa kukaza, sijazoea.

Aidha ana utoto,au hakuamini tena,au ana kiburi. Jaribu kuongea naye kumwambia kuwa akisamehe na asahau na ajue kukosea vitu vidogo na kusameheana ni kawaida ba ndio mapenzi hayo.

Akiendelea kususa,wenzie watakula.
 
Nimekuanae kwa takribani mwezi mmoja na nusu sasa. Yuko very romantic, sweet tender loving! Cha kushangaza najihisi kama nashindwa kumzoea hivi maana kila tukipishana kwa jambo hata liwe dogo kiasi gani basi anakuwa kama kasusa.

Indirectly tukilizungumzia tatizo tukamaliza anadai yuko sawa ila kimtindo kunakuwa na mis-treatment flani anayoidhihirisha hata kwa kauli tu, inakuwa kama namlazimisha kuongea ikiwa yeye hana hamu tena ingawa anakuwa ananijibu on time.

Nimekuja kwenu wanajamvi, kama kuna mtu ana uzoefu na aina hii ya wanawake.Tunaishi nao vipi jamani? How to deal with it! Naona kama nitashindwa kukaza, sijazoea.

Na wewe susa uone kama hajaanza mwenyewe bby sasa ile hela ya salon vipii!
 
Dawa ya mpenz msusaji wewe ndo uwe msusaji mara 2 yake.Badili style ya maisha uwe unpredictable hii itakusaidia.Mapenzi ni kupendana hakuna anayefanya fever kumpenda mwenzie mwanaume ukijishusha sana ininaboa flani hivii sometimes.Kuwa na msimamo,mpe huyo mtoto changamoto.Fanya haya ukiwa na uhakika wewe sio mtu wa kuridiarudia makosa maana pia inaweza iiawa sababu ya kususa.Usiogope uhusianao kuvunjika kama anakupenda hawez kwenda popote.
 
hujaoa unadekewa.. ukioa utadekiwa sasa. get busy na mambo yako machotara wapo wengi. wasichana wengine visirani tuu ukiuliza sababu ya kununa anajiabu ungese tu "mara ooh naona kama najipendekeza hunipendi"... shaabash.!!!
 
Dawa ya mpenz msusaji wewe ndo uwe msusaji mara 2 yake.Badili style ya maisha uwe unpredictable hii itakusaidia.Mapenzi ni kupendana hakuna anayefanya fever kumpenda mwenzie mwanaume ukijishusha sana ininaboa flani hivii sometimes.Kuwa na msimamo,mpe huyo mtoto changamoto.Fanya haya ukiwa na uhakika wewe sio mtu wa kuridiarudia makosa maana pia inaweza iiawa sababu ya kususa.Usiogope uhusianao kuvunjika kama anakupenda hawez kwenda popote.

Noted.. Executivesister
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom