Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,820 Reaction score 40,327 Jan 31, 2021 #1 Kenya marehemu huitwa mwendazake. Kiswahili Cha Kenya kinachekesha sana.
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Jan 31, 2021 #2 Taisho fuyaki said: Kenya marehemu huitwa mwendazake. Kiswahili Cha Kenya kinachekesha Sana. Click to expand... Sawa mwendazake
Taisho fuyaki said: Kenya marehemu huitwa mwendazake. Kiswahili Cha Kenya kinachekesha Sana. Click to expand... Sawa mwendazake
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,646 Reaction score 8,736 Jan 31, 2021 #3 Nini kinachochekesha hapo sasa?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 Jan 31, 2021 #4 Juzi walikuwa wanabishana Banki au Benki ...
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 Jan 31, 2021 #5 Zamani walikuwa mtu maarufu wanamuita Hayati...Hadi walipokuja kugundua Hayati manake marehem ndo wakaacha
Zamani walikuwa mtu maarufu wanamuita Hayati...Hadi walipokuja kugundua Hayati manake marehem ndo wakaacha
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 Jan 31, 2021 #6 Halafu waliposikia Kingunge wakajua mtu yeyote mwenye cheo anaitwa Kingunge.. Wakawa wanamuita Moi Kingunge..
Halafu waliposikia Kingunge wakajua mtu yeyote mwenye cheo anaitwa Kingunge.. Wakawa wanamuita Moi Kingunge..
libero Senior Member Joined Aug 18, 2015 Posts 157 Reaction score 770 Jan 31, 2021 #7 Ugali wanaita sima hawa jamaa bana
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,820 Reaction score 40,327 Jan 31, 2021 Thread starter #8 libero said: Ugali wanaita sima hawa jamaa bana Click to expand... Kumbe neno sima limeanzia kenya
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,746 Jan 31, 2021 #9 Jamani wanasema Jameni Mwizi wanamwita mchukua chake Chabo wanaita kozimen Bibi wanamwiita nyanya Mke wanamwiita bibiyake
Jamani wanasema Jameni Mwizi wanamwita mchukua chake Chabo wanaita kozimen Bibi wanamwiita nyanya Mke wanamwiita bibiyake
Bigtotheboy Member Joined Jul 8, 2020 Posts 8 Reaction score 4 Jan 31, 2021 #10 libero said: Ugali wanaita sima hawa jamaa bana Click to expand... Zambia wa wemba wanaita ishima(ugali) Lugha za kibantu.
libero said: Ugali wanaita sima hawa jamaa bana Click to expand... Zambia wa wemba wanaita ishima(ugali) Lugha za kibantu.
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,820 Reaction score 40,327 Jan 31, 2021 Thread starter #11 Mkuu uko serious au unatania Yani mwizi ni mchukua chake🤣 wax said: Jamani wanasema Jameni Mwizi wanamwita mchukua chake Chabo wanaita kozimen Bibi wanamwiita nyanya Mke wanamwiita bibiyake Click to expand...
Mkuu uko serious au unatania Yani mwizi ni mchukua chake🤣 wax said: Jamani wanasema Jameni Mwizi wanamwita mchukua chake Chabo wanaita kozimen Bibi wanamwiita nyanya Mke wanamwiita bibiyake Click to expand...
libero Senior Member Joined Aug 18, 2015 Posts 157 Reaction score 770 Jan 31, 2021 #12 Ndio mkuu kiswahili chao kiko tofauti sana em fikiria mtu anakwambia twende kupakia matatuu hapo lazima ukune kichwa kwanza
Ndio mkuu kiswahili chao kiko tofauti sana em fikiria mtu anakwambia twende kupakia matatuu hapo lazima ukune kichwa kwanza
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 33,870 Reaction score 32,650 Jan 31, 2021 #13 Umeme wanaita stima.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 23,657 Reaction score 57,056 Jan 31, 2021 #14 Wadau endelezeni mifano
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Jan 31, 2021 #15 Halafu ndo nao wanataka kuwa Walimu wa kiswahili kwenye nchi mbalimbali.
kajojo JF-Expert Member Joined Jun 9, 2012 Posts 2,946 Reaction score 5,487 Jan 31, 2021 #16 Nyie wabongo ni aje kutu discuss wa Kenya ati hatujui kiswahili, hizi mambo zilianzia huku kwetu kama mlikua hajui,
Nyie wabongo ni aje kutu discuss wa Kenya ati hatujui kiswahili, hizi mambo zilianzia huku kwetu kama mlikua hajui,
Mokaze JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 14,370 Reaction score 14,945 Jan 31, 2021 #17 Taisho fuyaki said: Kenya marehemu huitwa mwendazake. Kiswahili Cha Kenya kinachekesha Sana. Click to expand... Na Mrudizake ni aliyefufuka?? Mjazake ni aliyezaliwa??
Taisho fuyaki said: Kenya marehemu huitwa mwendazake. Kiswahili Cha Kenya kinachekesha Sana. Click to expand... Na Mrudizake ni aliyefufuka?? Mjazake ni aliyezaliwa??
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,297 Reaction score 21,699 Jan 31, 2021 #18 The Boss said: Zamani walikuwa mtu maarufu wanamuita Hayati...Hadi walipokuja kugundua Hayati manake marehem ndo wakaacha Click to expand... Ila Hayati ni mtu alie Hai. Marehem ni Mamati. Kutoka lugha ya kiarabu
The Boss said: Zamani walikuwa mtu maarufu wanamuita Hayati...Hadi walipokuja kugundua Hayati manake marehem ndo wakaacha Click to expand... Ila Hayati ni mtu alie Hai. Marehem ni Mamati. Kutoka lugha ya kiarabu
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,820 Reaction score 40,327 Jan 31, 2021 Thread starter #19 Magonjwa Mtambuka said: Umeme wanaita stima. Click to expand... Khaaaa hii nayo ndio naisikia Leo so waweza sema wajameni mwendazake kafa kwa kunaswa na stima 🤣🤣🤣🤣🤣
Magonjwa Mtambuka said: Umeme wanaita stima. Click to expand... Khaaaa hii nayo ndio naisikia Leo so waweza sema wajameni mwendazake kafa kwa kunaswa na stima 🤣🤣🤣🤣🤣
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,301 Reaction score 51,947 Jan 31, 2021 #20 Hiace wanaziita matatu na mabasi makubwa wanayaita masita... Basi mimi nikajiwazia lazima coaster zinaitwa manne
Hiace wanaziita matatu na mabasi makubwa wanayaita masita... Basi mimi nikajiwazia lazima coaster zinaitwa manne