Mwema kung'atuka?


Mmmmmh! Vipi kuhusu kutwesa na kung'oa kucha? Kitu kizito? Kumwagia tindikali? kukomaa kwa biashara ya madawa ya kulevya? Machache hayo na mengine mengi si crime ambayo amepewa tunzo kwa kuyaimarisha? Usisahau kupiga tu!
 
Kunakabusara kidogo ndani yake japo historia ya matukio ya vifo vya makusudi itamhukumu. Hata hivyo yamkini jk asimuluhusu kufanya hivyo, maana ataonekana msaliti. Safari hii walianza pamoja waimalize pamoja the icc.
 

Mfumo gani? Sema mfumo wa chama tawala CCM. Kama mtawala hataki hayo, wote wataacha hayawezi kuwa na nafasi. Kama wanasema we piga tu hadharani unafikiri kwenye kumwagiana nakugonga mvinyo utokano na PAYE yako wanasemaje? ni Ua tu!
 
wakuu naombeni mniwekee hapa wimbo wa PROF JAY- NANG'ATUKA .........usindikize hili thread........
 
nawashangaa wanaomtaka abaki ofisini
Hakuna mtu mwenye uwezo zaidi yake?
au ndio hivo yuko pale kulinda maslahi ya wachache ktk chama?
he has to retire as per law
na ateuliwe mwingine atakaelitumikia taifa bila ubaguzi wa kichama.
Wanaotaka abaki hadi 2015 ni wanafiki hawalitakii mema taifa.
 
Niliwahi kupost siku moja kuwa rational decision kwa Mwema ni kuondoka na si kuendelea na ofisi maana tukiwa tunaelekea 2015, nchi kwa kweli haitabiriki. Chochote chaweza kutokea kwa kuwa watu wamekata tamaa sana. Vilevile ikitokea mazingira ya kazi ni ya kuambiwa ufanye nini badala ya kutumia utalaamu wako, ni vema kukaa pembeni. Hongera Mwema huenda ukasalimika waachie akina Kova. Watakupigia simu na kukupongeza soon baada ya kung'atuka na kula pensheni yako tartiib.
 
ICC sio mchezo kasoma ramani mapema, kimbia mzee utafedheshwa tu 2015 na matumizi ya nguvu ya Watawala
 
 

uwe na heshima na hujui unachozungumza. Nchi zote duniani zinaweza kuwa hazina majeshi ila Polisi ni lazima wawepo. Polisi ni Law Enforcers sio Jeshi kama JWTZ wao sio LAW ENFORCERS! Ukitaka kujua uhondo wa ngoma uingie ucheze,we si uulize kwa Polisi kwa nini Mwema analazimika kujiuzuru kabla ya muda? Japokuwa hata wana-JF wanahamu ya kujua kwanini,lakini inakuwa ngumu kufichua sababu mambo mengine IKULU ndio inafahamu siri yote. Hapa ni jamvini kwa hiyo hata kuandika ni kwa kiasi!
 
Akapumzike tu amekuwa akishindwa kuchukua maamuzi kwa utashi wa sheria ila kwa utashi wa maccm
 

Kabisa Mkuu. Ujambazi ni wa kutafuta kwa tochi siku hizi na ndiyo maana Rais kasema ni bora majambazi yajitokeze yenyewe maana giza ni nene sana kiasha cha kutoyaona.

Ungekuwa unanifanyia propaganda lazima ningekufukuza kazi ukajifunze kwanza jinsi ya kufanya propaganda. Siwezi kumlipa mtu yoyote kwa propaganda ya aina hii. It is a waste of money na itanichafua zaidi.


  1. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bazi-kusalimisha-silaha-na-kujisalimisha.html
  2. https://www.jamiiforums.com/habari-...ajambazi-wamwambia-jk-kuwa-bado-wanatesa.html
  3. https://www.jamiiforums.com/habari-...si-makao-makuu-mwanza-na-kuiba-vielelezo.html
  4. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-barlow-auawa-na-wanaodaiwa-ni-majambazi.html
  5. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/337717-igp-mwema-mob-justice-na-kuuawa-kwa-polisi.html
  6. https://www.jamiiforums.com/habari-...kingongo-yanatumia-mabomu-kulipua-mageti.html
  7. https://www.jamiiforums.com/habari-...o-mzito-mamillioni-wachina-kwenye-foleni.html
  8. https://www.jamiiforums.com/habari-...ia-maxx-bureau-de-change-na-kukomba-hela.html
  9. https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/446085-dar-majambazi-yapora-na-kuua-5.html
  10. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/26462-tahadhari-majambazi-waunda-task-force.html
 
Anyongwe Kwa Kusababisha Mauaji..... The Hague Lazima Aende Hata Kama Akiachia Hicho Kiti....
 
Atuambie kwanza ni kwa kiwango gani "plan" yake ya polisi jamii imefanikiwa? Coz sehemu nyingine "polisi jamii" wamegeuka wahalifu wakubwa
 
Hilo la ujambazi lilikuwa rahisi kusovu. wala si kipimo cha kazi yake.
Ujambazi ulikuwa engineered by police, na regime change ya polisi kutoka mahita/tibaigana na majambazi wenzao na kuwa replaced na kina Mwema, automatically hilo genge lina phase out.
Mwema bado ni IGP mbofu sana. Mbofu.
Ameliharibia sifa jeshi la polisi.
Kila kona ya nchi akiona polisi anaona utesaji sio ulinzi.
Ameshindwa kujua wajibu wake na kulistructure jeshi kisiasa.
 
Kwa kweli aende tu akapumzike maana ICC ilikuwa inamgoja kwa uhalifu unaofanywa na Jeshi lake na kulifanya ni TAWI la CCM
 
Ameona hiyo extension offer aliyopewa na Mheshimiwa Rais Jakaya Mikoamipya Kikwete ni kitanza kitakachotumika kumnyonga huko ICC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…