Mweleze Mungu jambo moja tu siku ya leo


Amen
 
Naomba kwa Mungu wangu alie hai azidishe kutupa macho ya kuona ya rohoni maana Tanzania AMANI,UPENDO NA MSHIKAMANO UMETOWEKA, lakini namwomba Mungu pia anipe uwezo wa kutimiza ndoto zangu.
 
Amen.

mmh! tutafutane baadae asee.
 
ubarikiwe mkuu.
 
Jamani shem umeambiwa jambo moja tu ila umeandika walaka [emoji16]..

Ila sio mbaya Mungu abariki maombi yako. Amen
amedhihirisha na kwa jinsi gani moyo wake umejazwa na yale mengi aliyonena hapo...inapendeza sana, nimependa sana.
 
Nakupenda Mungu wangu, niokoe na kutoka kwenye uovu wangu
Mungu na akupe haja za Moyo wako mkuu, Isaya alilia kilio hiki, Mungu hakuvumilia maraika akatumwa akamtakasa kwa kaa la Moto
kilio hicho ni cha wachache sana, maana wengi tumepofuka tusione hitaji la msamaha kwa uovu wetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…