mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Naungana na Mtunga zaburi...
"Jambo moja moja nimelitaka kwa bwana, nalo ndilo nitakalolitafuta, nikae nyumbani kwa bwana siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa Bwana, na kuutafakari hekaruni mwake "
Zaburi 27:4
Kumcha Mungu au Kumwamini ni Uchaguzi wa hiyari mkuu. Maneno kama hayo yanaonyesha uchaguzi wa Muhusika.Hivi kwa jinsi anavyoelezewa alivyo, hawezi kulijua mpaka umweleze?
Naungana na Mtunga zaburi...
"Jambo moja moja nimelitaka kwa bwana, nalo ndilo nitakalolitafuta, nikae nyumbani kwa bwana siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa Bwana, na kuutafakari hekaruni mwake "
Zaburi 27:4
Mkuu, naomba niitafsiri sentensi yako. Ina maana, unaomba afe?Huwezi kwenda Mbinguni bila kufa. HahahahaaaNamuomba Mungu ampe Magufuli cheo cha malaika mkuu kama alivyoomba
Jamani shem umeambiwa jambo moja tu ila umeandika walaka [emoji16]..Nakushukuru Mungu kwa uhai nlonao, asante kwa kuzidi kunipa nafasi ya kuishi sio kwamba mimi ni mwema sana bali ni kwa neema tu! Naomba toba na rehema kwa ajili yangu,wazazi wangu, ndugu zangu, majirani zangu, rafiki zangu na Taifa kwa ujumla! Tusamehe na ututakase kwa damu ya mwanao Yesu Kristo inenayo mema. Ikanene mema katika katika maisha yetu ya kila siku! Asante Mungu kwa kuwa naamini utatenda, Amen!!!
Zaburi 27.4 barikiwaNikae nyumbani kwa bwana siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri wake na kuutafakari hekaluni mwake.
HahahaJamani shem umeambiwa jambo moja tu ila umeandika walaka [emoji16]..
Ila sio mbaya Mungu abariki maombi yako. Amen