Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,174
- 143,960
Mara hii mshaanza kutoa povu?Huna akili wewe umetumwa
Mshapata kisingizio eh...Hayo yatafanyikaje ikiwa hakuna mikutano ya kutolea hadharani misimamo yao. Mkuu Nyani Ngabu kwa hali ilivyo ni kama hakuna siasa. Kufanya siasa sirini na kwenye makaratasi tu kuna changamoto zake. Jiongeze!
Makamanda hawatakuvumilia kwa usaliti.Kadri siku zinavyoenda ndo ukweli nao unavyozidi kujidhihirisha kuwa CHADEMA inaelekea kwenye irrelevancy.
Mimi hata sijui siku hizi wanasimamia nini na wanasimama wapi.
Uongozi wake wa juu umepwaya mno. Hauna jipya. Hauna ubunifu. Chama kipo kama hakipo vile.
Hakina misimamo ya kueleweka. Kimeishia kubadili badili gia angani na majini.
Viongozi wake hawana tena credibility. Hawana tena moral authority ya lolote lile.
Ufisadi wameacha tena kuupinga. Utadhani sio wao waliokuwa wanakuja na orodha za mafisadi na kudai huyu kaficha hela Uswisi....yule kaweka hela kwenye kisiwa cha Jersey na kadhalika.
Obituary ya CHADEMA ishaanza kuandikwa.
So long.....
Huyo katibu mkuu naye yupo yupo tu. Hivi huwa hata anaongea?Chadema inatakiwa wajue jambo moja kuwa
Ubovu wa CCM hauifanyi CHADEMA kuwa bora. Wanahitaji uongozi mpya na akili mpya za kuwavusha hasa mwaka 2020, mh Mbowe amekwisha kaa miaka 16 nadhan kafanya pa kutosha. Pia katibu mkuu Dr Mashinji sidhani kama ana fit pale kwenye ukatibu.
*tujitafakari, mabadiliko yanaanza na sisi
Usaliti gani?Makamanda hawatakuvumilia kwa usaliti.
hahahahahaMakamanda hawatakuvumilia kwa usaliti.
Mkuu,mimi si CHADEMA. Nimechangia kama mtanzaniaMshapata kisingizio eh...
cv ya katibu mkuu ni uzoefu wa kuongoza migomo hasa ya madaktari ........Huyo katibu mkuu naye yupo yupo tu. Hivi huwa hata anaongea?
Mmoja mmoja mtaanza kuikana CHADEMA hadharani maana si watu wengi wenye kujipenda kujihusisha na kitu kilichofeli au kinachofeli.Mkuu,mimi si CHADEMA. Nimechangia kama mtanzania