mtindio wa ubongoNaomba kuuliza maneno haya ya Mhe. Anton Kom ameomba ruhusha kwa Viongozi wake au ameamuwa kuwaumbuwa kwa kauli zao za kupotosha watu tena wengine wasomi ambao Taifa linawategemea
CHADEMA YAUMBUKA
Nimeamini Ukweli ukidhihiri Uongo Ujitenga, Leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC Mhe. Anton Kom Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa TCD wakati akiwaelezea watanzania ujio wa wajumbe wa nchi tatu za Afrika (Msumbiji, Uganda na Zambia) kuja kubadilishana uzoefu kupitia TCD ambayo inaundwa na vyama vyenye wabunge Bungeni hapa Tanzania (CCM, Chadema, CUF, TLP, UDP na NCCR - Mageuzi). Mwandishi wa Habari alimuuliza swali Mhe. Anton Kom ni manufaa gani mmeyapata kupitia TCD, kwa mshangao mkubwa na sikuamini kauli niliyoisikia kutoka kinywani kwa Anton Kom - Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema kwa kusema moja kati ya mafanikio ya TCD ni uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kwani TCD walisimama kwa pamoja wakati huo TCD ikiundwa na CCM, Chadema, CUF na UDP tena wakati TCD ikiongozwa na Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akiwa mwenyekiti walikwenda kwa wazanzibar kuwaambia wapige kura ya ndio kuunga mkono mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kwa lengo la kuruhusu uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na kufanikiwa katika kuwahamasisha Wanzazibar na baada ya uchaguzi Mkuu wa 2010 Zanzibar iliundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Naomba kuuliza maneno haya ya Mhe. Anton Kom ameomba ruhusha kwa Viongozi wake au ameamuwa kuwaumbuwa kwa kauli zao za kupotosha watu tena wengine wasomi ambao Taifa linawategemea eti CUF kuwemo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, ni kuolewa na CCM na kuwa CCM B?. Mhe. Anton Kom leo ameufahamisha umma wa Watanzania kupitia TBC kuwa Viongozi wake ni waongo na wazandiki kwa kueneza propaganda chafu dhidi ya Chama Cha Wananchi CUF ili Watanzania wasikiamini chama hicho ambacho ndio kimekuwa kiongozi wa demokrasia ya kweli na kuwaunganisha watanzania wote bila kujadi itikadi zao wa dini ili kujenga Tanzania yenye Neema na Haki Sawa Kwa Wote. CUF ilifanya na kutafsiri kwa vitendo pale Bungeni ilipounda Kambi ya Upinzani kwa kuwashirikisha vyama vyote vya upinzani vilivyoko Bungeni ndio ZITTO na Padre SLAA alipoonekana, tulipoungana vyama vyote kwa kuwataja orodha ya Mafisadi pale Mwembeyanga, Chadema wanasema walisema wao peke yao wakati sio kweli na tulitembea nchi nzima kama ushirikiano wa vyama kuwafahamisha watanzania orodha hiyo wa Mafisadi baada ya kutoka Bungeni kambi ilikuwa ikiongozwa na CUF - Chama Cha Wananchi. Watanzania tunatakiwa tuitafakari Chadema kweli ni wapinzani wa kweli na wanania nzuri na taifa hili kwa kusema kweli kwa Mhe. Anton Kom.
kwa hiyo shida yako niniCHADEMA YAUMBUKA