T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,931
- 987
Nimeamini Ukweli ukidhihiri Uongo Ujitenga, Leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC Mhe. Anton Kom Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa TCD [SUP][SUB]akiwaeleza [/SUB][/SUP]watanzania ujio wa wajumbe wa nchi tatu za Afrika (Msumbiji, Uganda na Zambia) kuja kubadilishana uzoefu kupitia TCD ambayo inaundwa na vyama vyenye wabunge Bungeni hap
a Tanzania (CCM, Chadema, CUF, TLP, UDP na NCCR - Mageuzi). Mwandishi wa Habari alimuuliza swali Mhe. Anton Kom ni manufaa gani mmeyapata kupitia TCD, kwa mshangao mkubwa na sikuamini kauli niliyoisikia kutoka kinywani kwa Anton Kom - Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema kwa kusema moja kati ya mafanikio ya TCD ni uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kwani TCD walisimama kwa pamoja wakati huo TCD ikiundwa na CCM, Chadema, CUF na UDP tena wakati TCD ikiongozwa na Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akiwa mwenyekiti walikwenda kwa wazanzibar kuwaambia wapige kura ya ndio kuunga mkono mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kwa lengo la kuruhusu uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na kufanikiwa katika kuwahamasisha Wanzazibar na baada ya uchaguzi Mkuu wa 2010 Zanzibar iliundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa..
SOURCE; KIPINDI CHA JAMBOLEO ASUBUHI NA FACEBOOK PAGE YA ABUBAKARI KITOGO
MY TAKE; tuwe tuna appreciate mazuri yanayofanywa na wale tunaopingana nao