Mweka hazina wa CHADEMA aisifia serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Nimeamini Ukweli ukidhihiri Uongo Ujitenga, Leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC Mhe. Anton Kom Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa TCD [SUP][SUB]akiwaeleza [/SUB][/SUP]watanzania ujio wa wajumbe wa nchi tatu za Afrika (Msumbiji, Uganda na Zambia) kuja kubadilishana uzoefu kupitia TCD ambayo inaundwa na vyama vyenye wabunge Bungeni hap
a Tanzania (CCM, Chadema, CUF, TLP, UDP na NCCR - Mageuzi). Mwandishi wa Habari alimuuliza swali Mhe. Anton Kom ni manufaa gani mmeyapata kupitia TCD, kwa mshangao mkubwa na sikuamini kauli niliyoisikia kutoka kinywani kwa Anton Kom - Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema kwa kusema moja kati ya mafanikio ya TCD ni uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kwani TCD walisimama kwa pamoja wakati huo TCD ikiundwa na CCM, Chadema, CUF na UDP tena wakati TCD ikiongozwa na Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akiwa mwenyekiti walikwenda kwa wazanzibar kuwaambia wapige kura ya ndio kuunga mkono mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kwa lengo la kuruhusu uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na kufanikiwa katika kuwahamasisha Wanzazibar na baada ya uchaguzi Mkuu wa 2010 Zanzibar iliundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa..

SOURCE; KIPINDI CHA JAMBOLEO ASUBUHI NA FACEBOOK PAGE YA ABUBAKARI KITOGO

MY TAKE; tuwe tuna appreciate mazuri yanayofanywa na wale tunaopingana nao
 
Naomba kuuliza maneno haya ya Mhe. Anton Kom ameomba ruhusha kwa Viongozi wake au ameamuwa kuwaumbuwa kwa kauli zao za kupotosha watu tena wengine wasomi ambao Taifa linawategemea
 
CHADEMA YAUMBUKA
Nimeamini Ukweli ukidhihiri Uongo Ujitenga, Leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC Mhe. Anton Kom Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa TCD wakati akiwaelezea watanzania ujio wa wajumbe wa nchi tatu za Afrika (Msumbiji, Uganda na Zambia) kuja kubadilishana uzoefu kupitia TCD ambayo inaundwa na vyama vyenye wabunge Bungeni hapa Tanzania (CCM, Chadema, CUF, TLP, UDP na NCCR - Mageuzi). Mwandishi wa Habari alimuuliza swali Mhe. Anton Kom ni manufaa gani mmeyapata kupitia TCD, kwa mshangao mkubwa na sikuamini kauli niliyoisikia kutoka kinywani kwa Anton Kom - Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema kwa kusema moja kati ya mafanikio ya TCD ni uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kwani TCD walisimama kwa pamoja wakati huo TCD ikiundwa na CCM, Chadema, CUF na UDP tena wakati TCD ikiongozwa na Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akiwa mwenyekiti walikwenda kwa wazanzibar kuwaambia wapige kura ya ndio kuunga mkono mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kwa lengo la kuruhusu uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na kufanikiwa katika kuwahamasisha Wanzazibar na baada ya uchaguzi Mkuu wa 2010 Zanzibar iliundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Naomba kuuliza maneno haya ya Mhe. Anton Kom ameomba ruhusha kwa Viongozi wake au ameamuwa kuwaumbuwa kwa kauli zao za kupotosha watu tena wengine wasomi ambao Taifa linawategemea eti CUF kuwemo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, ni kuolewa na CCM na kuwa CCM B?. Mhe. Anton Kom leo ameufahamisha umma wa Watanzania kupitia TBC kuwa Viongozi wake ni waongo na wazandiki kwa kueneza propaganda chafu dhidi ya Chama Cha Wananchi CUF ili Watanzania wasikiamini chama hicho ambacho ndio kimekuwa kiongozi wa demokrasia ya kweli na kuwaunganisha watanzania wote bila kujadi itikadi zao wa dini ili kujenga Tanzania yenye Neema na Haki Sawa Kwa Wote. CUF ilifanya na kutafsiri kwa vitendo pale Bungeni ilipounda Kambi ya Upinzani kwa kuwashirikisha vyama vyote vya upinzani vilivyoko Bungeni ndio ZITTO na Padre SLAA alipoonekana, tulipoungana vyama vyote kwa kuwataja orodha ya Mafisadi pale Mwembeyanga, Chadema wanasema walisema wao peke yao wakati sio kweli na tulitembea nchi nzima kama ushirikiano wa vyama kuwafahamisha watanzania orodha hiyo wa Mafisadi baada ya kutoka Bungeni kambi ilikuwa ikiongozwa na CUF - Chama Cha Wananchi. Watanzania tunatakiwa tuitafakari Chadema kweli ni wapinzani wa kweli na wanania nzuri na taifa hili kwa kusema kweli kwa Mhe. Anton Kom.
 
Mwabweni, sijui hata nikwambie nini,natamani nikwambie kitu lakini ngoja nitakurudia hapa hapa muda si mrefu!
 
Last edited by a moderator:

#Kwa hiyo umelipwa sh ngapi!
 
kwa hiyo shida yako nini
?kama kafu kuolewa imeshaolewa hata ukipiga kelele haisaidii
 
Tueleze wewe unavyojua manufaa yaliyopatikana kutokana na TCD
 
Maneno ya wanafiki,chadema ndio walianza kuwatenga cuf kwa sababu eti wameungana na ccm na ccm b ! Umesahau leo ? Nitakuwekea vidio ya mbowe akijibishana na hamid rashid siku ambayo kulikuwa na mvutano mkubwa ! Mumesahau leo ? Chadema ni watu wa mwanzo ambao wilijionesha mbele ya umma kuichukia serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar,aibu yenu !Eti nyie ndio mulio hamasisha wananchi wapige kura ndio, yagujuu .Mumesahau baada ya kundwa serikali ya umoja wa kitaifa kuona cuf wamepewa madaraka ndani ya smz nyinyi chadema mukaja juu na kuiponda Gnu ,ndio mwisho mukaja na hitimisho la katiba mpya ! Hapo ndio mulipo pata nguvu kwa kupitia NGo na wananchi kwa ujumla yote kwa kuwania madaraka hata pia muje muitawale zanzibar kikatiba zaidi kwa vile zanziba imetaja mipaka yake na kujitangaza kuwa ni nchi kikatiba,huku katiba ya tanzania kutamka tanzania ni nchi moja,haha
 
Muungano wa ccm na cuf umeleta balaa, uamusho wameleta balaa sana zanzibar! Cuf ni hatari sana kwa zanzibar na tanzania kiujumla!
 
Mnapokuwa kwenye kikao cha ndani, kuna uwezekano wa kuwapo misimamo tofauti, lakini msemaji wa kikao anatakiwa aseme kile ambacho ndio maazimio ya kikao, hata kama yeye (msemaji) alikuwa miongoni mwa walioipinga hoja alipokuwa katika kikao. Komu ameongea kama mjumbe wa TCD na si kama mtunza fedha wa CDM. Ndio maana hata Mrema alipopingana na maamuzi ya baraza la mawaziri katika public (wakati yeye ni member wa baraza hilo) ilikuwa lazima either afukuzwe au ajiuzuru uwaziri. Vivyo hivyo kwa Komu anatakiwa atekeleze misimamo ya TCD anapoongea kama mjumbe wa TCD, otherwise ajiondoe huko!
 
Sekretarieti mpya inajitahidi kushambulia kwenye mitandao ya jamii.. Tatizo liko pale pale.. Mmeoza mpaka nywele.. Hata miracles haiwezi kuwaokoa toka kwenye tsunami hii mliojitengenezea..
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom