Nimeamini Ukweli ukidhihiri Uongo Ujitenga, Leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania kinachorushwa na TBC Mhe. Anton Kom Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema ambaye pia ni Mjumbe wa TCD [SUP][SUB]akiwaeleza [/SUB][/SUP]watanzania ujio wa wajumbe wa nchi tatu za Afrika (Msumbiji, Uganda na Zambia) kuja kubadilishana uzoefu kupitia TCD ambayo inaundwa na vyama vyenye wabunge Bungeni hap
a Tanzania (CCM, Chadema, CUF, TLP, UDP na NCCR - Mageuzi). Mwandishi wa Habari alimuuliza swali Mhe. Anton Kom ni manufaa gani mmeyapata kupitia TCD, kwa mshangao mkubwa na sikuamini kauli niliyoisikia kutoka kinywani kwa Anton Kom - Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Chadema kwa kusema moja kati ya mafanikio ya TCD ni uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kwani TCD walisimama kwa pamoja wakati huo TCD ikiundwa na CCM, Chadema, CUF na UDP tena wakati TCD ikiongozwa na Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe akiwa mwenyekiti walikwenda kwa wazanzibar kuwaambia wapige kura ya ndio kuunga mkono mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kwa lengo la kuruhusu uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na kufanikiwa katika kuwahamasisha Wanzazibar na baada ya uchaguzi Mkuu wa 2010 Zanzibar iliundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa..
SOURCE; KIPINDI CHA JAMBOLEO ASUBUHI NA FACEBOOK PAGE YA ABUBAKARI KITOGO
MY TAKE; tuwe tuna appreciate mazuri yanayofanywa na wale tunaopingana nao

Sekretarieti mpya inajitahidi kushambulia kwenye mitandao ya jamii.. Tatizo liko pale pale.. Mmeoza mpaka nywele.. Hata miracles haiwezi kuwaokoa toka kwenye tsunami hii mliojitengenezea..
majibu ya hoja ya mada husika ndio yako hapa na sitii neno zaidiMnapokuwa kwenye kikao cha ndani, kuna uwezekano wa kuwapo misimamo tofauti, lakini msemaji wa kikao anatakiwa aseme kile ambacho ndio maazimio ya kikao, hata kama yeye (msemaji) alikuwa miongoni mwa walioipinga hoja alipokuwa katika kikao. Komu ameongea kama mjumbe wa TCD na si kama mtunza fedha wa CDM. Ndio maana hata Mrema alipopingana na maamuzi ya baraza la mawaziri katika public (wakati yeye ni member wa baraza hilo) ilikuwa lazima either afukuzwe au ajiuzuru uwaziri. Vivyo hivyo kwa Komu anatakiwa atekeleze misimamo ya TCD anapoongea kama mjumbe wa TCD, otherwise ajiondoe huko!
Nimeamini watanzania bado uwelewa wetu unastajabisha sana, tumekuwa hatujadili hoja bali tumeweka ushabiki mbele, viongozi wa Chadema kuwadanganya watanzania je wanaagenda gani na kwa maslahi ya nani. wao walitaka wanzanzibar wauwane kila kipindi cha uchaguzi. Katiba ya Zanzibar ndio msingi wa serikali iliyopo hakuna kuolewa kwa mtu pale, hakuna CCM B eti CDM ina wasomi na wanasheria wasiojuwa sheria na pia hawataki kuheshimu Katiba Demokrasia ya wapi kuwaongopea wananchi Chadema ni hatari kwa mustakabali wa nchi Zinduka Mtanzania