Mweh.. wadada mbona mnatufanyia hivi

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,286
15,530
Yaani ingekua amri yangu kila kikombe ofisini kiwe na jina la mtu...

il_570xN.715762685_3rl2.jpg
 
teh teh teh
siku hizi umeacha kuweka alama kwenye vikombe vya ofisi??
hahahahahaahahahahhah, sisi kila mtu ana kikombe chake, sana sana mhudumu anachemsha maji na kuandaa madiko madiko kila mtu anaenda na kikombe chake, wakati wa kuviosha anamletea kila mtu anatunza kikombe chake
 
Hapo sawa aisee.
Maana wadada wazuri wazuri mna maneno sana maofisini.
 
Back
Top Bottom