PreGE2025 Mwasisi CHAUMMA, Eugene Kabendera ajiunga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche

1cdbb4dd-9815-4ed5-be3a-5098bb148048.jpg

Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Eugene Kabendera leo Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Mei 27, Kabendera alitangaz akujiondoa CHAUMMA kwa kile alichosema kuwa ni kukiukwa kwa msingi ya chama hicho, ambacho nacho kimepokea waliokuwa makada wa CHADEMA waliokuwa wameunda kundi la G55.

Kabendera ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Aman Golugwa, makao makuu ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
 
Huyu nae vipi?. Siku zote alikuwa wapi? Mbona sasa anatafuta umarufu kupitia Mgongo wa CHAUMA CHOPA?

Wakati wa CHAUMA ubwabwa hata hakujulikana.
 
Jamaa amewaasisieni chama hicho hapo. Nendeni mkakiharibu wenyewe sasa.
 
Hii move viongozi wa Chadema muingalie kwa jicho la tatu huenda wale vibaka wanaona wamefeli sasa wamemtuma kama mamluki wa kuwa kiunganishi chao.

Ninapata walakini kuhusu hii move
 
Huyu nae vipi?. Siku zote alikuwa wapi? Mbona sasa anatafuta umarufu kupitia Mgongo wa CHAUMA CHOPA?

Wakati wa CHAUMA ubwabwa hata hakujulikana.
kuna wehu wameenda kupakaza kinyesi chaumma amekwepa kinyesi
 
Wakuu naona usajili ni kama unaendelea kila sehemu, hatimaye Eugine Kabendera ambaye pia ni miongoni mwa waanzilishi na msemaje wa CHAUMMA ameamua kwenda CHADEMA na kupokelewa na Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche

Huyo kwl ni zaidi ya kahaba, si majuzi tu alijiunga ACT-Wazalendo? Sasa huyo nyau ana impact gani, nani anamfahamu? Naye kilichomwondoa ni CHAUMMA kupata wanachama wapya? Kwa hiyo ye hakutaka Chama chake kikue? Huyo ndio alikuwa mchawi wa CHAUMMA sasa ameumbuka uchawi wake umebuma
 
Huyu nae vipi?. Siku zote alikuwa wapi? Mbona sasa anatafuta umarufu kupitia Mgongo wa CHAUMA CHOPA?

Wakati wa CHAUMA ubwabwa hata hakujulikana.
Hahahaha! Mimi mwenyewe najiuliza. Huko nyuma nilikuwa najua mwanzilishi ni Rungwe na CHAUMMA ilikuwa ni mali yake kumbe wapo waanzilishi wengine.

Halafu huyu jamaa itakuwa wakati wananzisha CHAUMMA aliwa na umri wa miaka 30 hivi kwa mwonekano wake.
 
Huyo kwl ni zaidi ya kahaba, si majuzi tu alijiunga ACT-Wazalendo? Sasa huyo nyau ana impact gani, nani anamfahamu? Naye kilichomwondoa ni CHAUMMA kupata wanachama wapya? Kwa hiyo ye hakutaka Chama chake kikue? Huyo ndio alikuwa mchawi wa CHAUMMA sasa ameumbuka uchawi wake umebuma
Naona kautamaduni kakuitana kenge, viumbe, nyau… kakishamiri
 
View attachment 3355833

Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Eugene Kabendera leo Jumatano, Juni 4, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Mei 27, Kabendera alitangaz akujiondoa CHAUMMA kwa kile alichosema kuwa ni kukiukwa kwa msingi ya chama hicho, ambacho nacho kimepokea waliokuwa makada wa CHADEMA waliokuwa wameunda kundi la G55.

Kabendera ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Aman Golugwa, makao makuu ya Chadema, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Bendera tu huyu, he is an opportunist.
 
Back
Top Bottom