figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,381
Chadema ndio mwarobaini wa ccm.
Ccm walijua wataiangamiza chadema kwa mbinu walizorumia kwa nccr na Cuf lakini imeshindikana.
Tangu vyama vingi vianze ccm walikua hawajapata chama cha kuwavuruga akili kama chadema.
Wamejaribu kutumia mbinu zao zote kukiangamiza chadema wameshindwa. Sasa hivi wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu kwa kila Uchaguzi.
Yanayo tokea Bungeni na nje ya bunge ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa ccm sababu hawajui nini wafanye.
Hii katiba mpya wanaona ndo inawamaliza kabisaaaa....!!! Yaani sasa hivi wanamlaumu Rais kwanini alikubali mchakato wa katiba mpya wakati hakuwa katika ahadi za ccm.
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kula ofisini kwake kwani wanajua fika 2015 ndo mwisho wa ccm.
Chadema ingekua kama vyama vingine vya upinzani hakika Tanzania ingekua taabani zaidi ya hapa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda na kuibariki Chadema na Viongozi wake ili haki iendelee kuwepo. Mia
...na bado tutapiga mpaka wachanganyikiwe, wakiziba huku tunapiga huku,teh tehehee . tunapiga bungeni, tunapiga mtaani, tunashinda mahakamani tunapiga mpaka ikulu, wakirogwa waweke fair ground tu wamekwishaaaa...! chezeya m4c...?
Chadema ndio mwarobaini wa ccm.
Ccm walijua wataiangamiza chadema kwa mbinu walizorumia kwa nccr na Cuf lakini imeshindikana.
Tangu vyama vingi vianze ccm walikua hawajapata chama cha kuwavuruga akili kama chadema.
Wamejaribu kutumia mbinu zao zote kukiangamiza chadema wameshindwa. Sasa hivi wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu kwa kila Uchaguzi.
Yanayo tokea Bungeni na nje ya bunge ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa ccm sababu hawajui nini wafanye.
Hii katiba mpya wanaona ndo inawamaliza kabisaaaa....!!! Yaani sasa hivi wanamlaumu Rais kwanini alikubali mchakato wa katiba mpya wakati hakuwa katika ahadi za ccm.
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kula ofisini kwake kwani wanajua fika 2015 ndo mwisho wa ccm.
Chadema ingekua kama vyama vingine vya upinzani hakika Tanzania ingekua taabani zaidi ya hapa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda na kuibariki Chadema na Viongozi wake ili haki iendelee kuwepo. Mia
Ccm wameguswa pabaya......Kwanzia mwakani kazi wanayo!!!!
Tatizo manfikir kura wanapiga wana propaganda wa JF, kura zinapigwa na wananchi wanaojua CCM inafanya nini majimboni mwao.
Chadema ndio mwarobaini wa ccm.
Ccm walijua wataiangamiza chadema kwa mbinu walizorumia kwa nccr na Cuf lakini imeshindikana.
Tangu vyama vingi vianze ccm walikua hawajapata chama cha kuwavuruga akili kama chadema.
Wamejaribu kutumia mbinu zao zote kukiangamiza chadema wameshindwa. Sasa hivi wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu kwa kila Uchaguzi.
Yanayo tokea Bungeni na nje ya bunge ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa ccm sababu hawajui nini wafanye.
Hii katiba mpya wanaona ndo inawamaliza kabisaaaa....!!! Yaani sasa hivi wanamlaumu Rais kwanini alikubali mchakato wa katiba mpya wakati hakuwa katika ahadi za ccm.
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kula ofisini kwake kwani wanajua fika 2015 ndo mwisho wa ccm.
Chadema ingekua kama vyama vingine vya upinzani hakika Tanzania ingekua taabani zaidi ya hapa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda na kuibariki Chadema na Viongozi wake ili haki iendelee kuwepo. Mia
Chadema ndio mwarobaini wa ccm.
Ccm walijua wataiangamiza chadema kwa mbinu walizorumia kwa nccr na Cuf lakini imeshindikana.
Tangu vyama vingi vianze ccm walikua hawajapata chama cha kuwavuruga akili kama chadema.
Wamejaribu kutumia mbinu zao zote kukiangamiza chadema wameshindwa. Sasa hivi wanasubiri kudra za Mwenyezi Mungu kwa kila Uchaguzi.
Yanayo tokea Bungeni na nje ya bunge ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwa ccm sababu hawajui nini wafanye.
Hii katiba mpya wanaona ndo inawamaliza kabisaaaa....!!! Yaani sasa hivi wanamlaumu Rais kwanini alikubali mchakato wa katiba mpya wakati hakuwa katika ahadi za ccm.
Sasa hivi kila mtu anajitahidi kula ofisini kwake kwani wanajua fika 2015 ndo mwisho wa ccm.
Chadema ingekua kama vyama vingine vya upinzani hakika Tanzania ingekua taabani zaidi ya hapa.
Namuomba Mungu azidi kuilinda na kuibariki Chadema na Viongozi wake ili haki iendelee kuwepo. Mia
Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.
Watu tuna mitazamo tofauti kweli, wakati Watanzania wengi wanaamini Katiba mpya ndiyo ilikuwa karata ya mwisho kwa CHADEMA , kumbe bado wanaojifariji kuwa CHADEMA wana nguvu? kazi kweli kweli.
Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.
chadema ni sawa na mgonjwa ambaye ugonjwa wake unapanda na kushuka na ndivyo kilivyo chadema.
Vp kuhusu vua gamba imefikia wapi?
...mkuu unaongea kama mnajiamiiiiini, ingekuwa hivo acheni kutumia mbinu shirikishi basi wakati wa uchaguzi. wekeni fair ground muone moto wetu,acheni kutumia tiss, polisi, wanajeshi na mbaya zaidi rushwa na wakurugenzi wa halmashauri,bila kuimsahau kiungo wenu mkuu tume ya uchaguzi...
kweli mmechanganyikiwa maana siku zote mlisema ni chama cha mijini na sasa unasahau kuwa kuna uchaguzi wa serikali za mitaa hapa katikati lakini unaangalia 2015 tu, kuna pigo lingine kabla ya huko. Mfano mdogo ni nguvu na pesa walivyotumia Arusha lakini ikawalazimu kutimua mbio usiku wa manane.Nyie hangaikeni, 2015, ndo mtawajuwa CCM ni akina nani, si mnahangaika na M4c, Mara kunadi Katiba wao kimya, na uzuri CCM bwana wafuasi wao hawana papara kabisa siku wakianza kuwanyeshea mnaanza kumtafuta mchawi.