Mwanzo wa meditation

Mkuu Mimi kila nikifanya meditation inafikia hatua kichwa kinauma,basi naishia hapo.next day nikifanya tena kichwa kinuma during the process. Ni kitu gan husababisha kichwa kuumaa au kuna kitu nakosea
Cc Rakims
 
Mimi nami naishia kujihisi navibrate hiyo ni stage gani niliyofikia
 
Mkuu Mimi kila nikifanya meditation inafikia hatua kichwa kinauma,basi naishia hapo.next day nikifanya tena kichwa kinuma during the process. Ni kitu gan husababisha kichwa kuumaa au kuna kitu nakosea
Cc Rakims
Kichwa kuuma ni kubadili maendeleo yake mapya yani kuingiza function mpya ya obongo kutoka 10% Kwenda 10.0001 na kuendelea huko hivyo inapofika sehemu kitaacha kuuma na kuendelea vizuri, by then utaexperience kitu kingine kama sankudi kuwasha n.k

Rakims
 
Haya ni kwa mujibu WA mafundisho ya dini au ubunifu tu?
Ni kwa mujibu Wa mafundisho ya sayansi ya dini zote mkuu, kwa maono tofauti combination ya intelligence people ndio wakapata kitu hiki,

Rakims
 
Mkuu nilikuwaga sijui Meditation ni nini na nilikuwaga naifanya kumbe sijui kama nafanya meditation,nilikuwa nataka hadi kujua zaidi ila sikumpata mtu wa kunielekeza vizuri,aisee umenifundishs vizuri mkuu,naomba uwe unani tag maana nashindwa ku subscribe natumia PC,but nimefurahi kujua hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom