Elections 2010 Mwanza: Watu watawanywa kwa mabomu wakimsubiri Dr. Slaa

Hizi rafu ni za kawaida kabisa..........zisitushtue hata kidogo...........Mkubwa huwezi kumnyang'anya tonge mdomoni akawa anakuchekelea..........lazima atapambana sana kulinda ugali wake.....................Ni ubinadamu huo.........
 
[Kuna mada nyingine tayari inayozungumzia the same issue. ]
Acha ubinasfi si watu wote waliyoiona hiyo mada na kuijadili,kuna wanaJF bado hawajayoiona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mamaaaaaa,ule mbona ni uwanja mdogo sana au wanataka watu wafe kwa kubanana pale?
maana naamini hata hayo mahubiri sijui kama yatapata watu
 
Kwa masharti yafuatayo:
Mtuletee majina ya watu watakao kuwepo siku ya mdahalo na maswali watakayo uliza usije leta watu wenye njaa kutoka sehemu kama Kariakoo....
Huduma ya kwanza iwepo.
Hakuna kuzungumzia ufisadi
na iwekuzungumzia ilani za chama
.... Mkiyatekeleza hayo JK atakuja kwenye mdahalo...

Jk anaogopa kuanguka kama gunia huko hendi!!!!!!!!!! afu inabidi aandaliwe la kusema , akiandaa mwenyewe anaishia kutoa ahadi zisizo na kichwa wala miguu.
 
Mlio mwanza si mumvunje mbavu huyo lyimo!!! tumechoka na hawa wahuni wachache wanaotuibia rasilimali zetu jamani...aaalaa...
 
Mambo yameanza kwani leo mchana watu waliofurika kumsikiliza Dr. Slaa wametawanywa na mabomu ya Machozi pale uwanja wa Furahisha karibu na KIRUMBA stadium Mwanza nia ilikuwa kuwatawanya watu wasimsikilize Dr. Slaa. Kizaazaa kwani umati huo uligima ila baadaye walisalimu amri ila waliamua kukimbilia Mwaloni na kujikusanya mpaka alipowasili DR. saa kumi na mbili na kuzuiwa kuhutubia ila amegoma kushuka na anaendelea na hotuba akisema wamshushe JK kwanza.

Damu inamwagika sio muda mrefu ndugu. Sijui alaumiwe nani.
 
Chadema mkoa waliomba mkutano kufanyikia Uwanja wa Furahisha ama Magomeni Mwanza, na wakachelewa kupewa majibu, ikabidi watangaze kuwa mkutano wa Slaa ni leo, sasa Msimamizi wa Uchaguzi akatoa taarifa leo mkutano usifanyike Furahisha maana kuna majukwaa ya mahubiri ya dini lakini watu walishajaa toka asubuhi na FFU wakaenda kuwatimua kwa mabomu. Sasa mkutano unahamia Magomeni.....


Cha ajabu kabisa nashindwa kuwaelewa hao police(FFU)

Chief commander wa hao FFU hajui kufanya NEGOTIATION kati ya wale waliokuja kwa ajiri ya mahubiri na wale waliokuja kwa kusikiliza sera za CHADEMA?

Hivi kwa akili ndogo tu hao watu waliokusanyika hapo FURAHISHA kulukuwa na haja ya police kutumia mabomu baridi i mean mabomu ya machozi??

Na ofice inayo toa vibari vya watu wanao taka kutumia viwanja wazi kwa ajiri ya shughuri hizo walukuwa hawajui cha kufanya kuwa huyu wampa eneo hili na yule wampa eneo lingine. Hii yote inaashiria uongozi dhaifu kwa Jiji la Mwanza, Na Police hao wanaofuata tuuu order toka kwa boss wao. Ni usalama upi unao wapa raia wako hii ni ile kusema unawaanda hawa wananchi kujihami kwa ajiri ya kudai haki zao lakini ukiwa treat in a free and fair election hii hali haitotokea kabisa.

Haya madaraka ya kupata kwa njia ya raia kumwagika damu ati nawe utasema hao waliofiwa na ndugu zao ati walikuchagua??

Police nyie ndicho chombo cha kulinda usalama wa raia mkitulia na mkajipanga katika kipindi hiki hakutotokea machafuko kabisaaaa ila mkivuruga na mkafanya mambo kwa maslahi ya viongozi waliko madarakani kwa kutimiza mashariti yao kwa kuwakandamiza raia hiyo damu itawarudi before 2015.
 
Uzuri ni kwamba zege halilali..... mkutano lazima uwepo maana upo ndani ya ratiba!!!!! Ila wandugu uwanja wa magomeni pale mwanza mdogo..... CCM wataishia kumpa Dr. Slaa umaarufu mara mbili maana watu watasimama juu ya mapaa ya nyumba...na vyombo vya habari vitaripoti hivyo..... Wataishia kumpa umaarufu Dr. Slaa....Tusubiri tuone....
 
na bado mwaka huu watakoma, people powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Kwa nini rigome kushuka kwani Marwa hakuwepo ampige kirungu cha mkono ulioteguka?
Sasa wanachesea jesi letu ra porisi!!!

Sasa inakuwaje wawatawanye wananchi na kisha wamuzuie kuhutubia ... si ilibidi ajipange upya? Simple logic ila sheria hairuhusu kuhutubia mkutano baada ya saa 12. Najua kuna matatizo zaidi ya hilo ndo maana Rais wetu mpendwa amegoma na kuendelea kuhutubia. Tutapata ukweli baadae.....
Ila Masero, Marwa, Robi na chacha wasianze kumshughulikia na kusababisha umwagaji wa damu!!:mmph:

 
Tupeni mambo yanayojiri huko... nasikia upepo unavuma vibaya sana kwa CCM na kundi lao la mafisadi kanda ya ziwa... Ni kimbunga ambacho hawakukitarajia, walijua wasukuma ni akina "nduhu taabu" lakini baada ya huyu Mba'rbaige kuweka karata yake upepo umebadirika sana sana wataanza kutumia nguvu

rekebisha hiyo kitu. Dr Slaa ni Mwiraqw.
 
Nguvu ya dola haisaidii... democracy have to take place on its own..CCM CCM CCM HAHAHAHAHAHAHAHA dr weka vitu wazi... tuko pamoja japo wamegoma fungua vyuo tutapanda treni tupo pamoja......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom