DIUNATION
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 2,639
- 1,799
sasa unaanza kunitukana?
Tusi likowapi hapo?
sasa unaanza kunitukana?
Tusi likowapi hapo?
Wewe pia utakuwa ni ---------mbona hata hapo tanganyika ni eneo la wahindi pia
Wewe pia utakuwa ni ---------
pumbafu
Acha uongo wewe.Jiji la mwanza linaongozwa na chadema kuanzia madiwani wabunge hadi meya, chakushangaza pamoja na madudu yote haya viongozi wa chadema wako kimya, wao cha muhimu ni kusimikwa uchifu tu.
Acha uongo wewe.
Sasa mbona tunatawaliwa indirect??? Jiji letu lakini tunapangiwa pa kupita khaaaa!!!
Mkuu watu hawakatizi kwenye nyumba za ibada kwani tayari kuna kuta zilishajengwa zamani pande zote mbili kuzunguka misikiti yote sasa walikuwa wanapita katikati ya hizo kuta kama coridor ambayo imewekwa paving stones hivi karibuni.Sioni kama kuna tatizo kuziba kwani kuna uchochoro kutekea msikiti wa ijumaa hadi duka la vipodozi la rasasi watembea kwa muguu wanaweza utumia badala ya kukatiza kwenye nyumba za ibada.
Mkuu watu hawakatizi kwenye nyumba za ibada kwani tayari kuna kuta zilishajengwa zamani pande zote mbili kuzunguka misikiti yote sasa walikuwa wanapita katikati ya hizo kuta kama coridor ambayo imewekwa paving stones hivi karibuni.
mwanza mnatawaliwa na wahindi, njooni Arusha mjifunze namna ya kudili na hawa watu
Hata Arusha uchumi umeshikwa na wahindi nyie kazi yenu kunywa viroba na maandamano.mwanza mnatawaliwa na wahindi, njooni Arusha mjifunze namna ya kudili na hawa watu