Mwanza: The Cask yawaka moto

Your browser is not able to display this video.


Bila shaka hawakuwa na maji. Kama walitaarifiwa mapema kwanini wachelewe? Hatuna utaratibu wa kujua tangu walipotaarifiwa iliwachukua muda gani mpaka walipowasili.
 
Tanzania wanaendekeza siasa Sana badala ya kudeal na reality!

Sasa Kama kuzima Moto tu inakua mgogoro mpaka jengo lote linateketea, ila ingekuwa watu Fulani wamevaa jezi ya chama wako mitaani na shughuli zao, ungeskia taarifa za kiinterejensia!

Aliyeiloga serikali ya CCM kafa, laana inatafuna nchi!
 
Huyo mmiliki wa hiyo place atakuwa amechoma hiyo place ili alipwe na bima .
Namjua Sana huyo mjuba since kitambo na rasta zake akiwa anaendesha club pale mwanza hotel.
Ni muhuni aliyepitiliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…