jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,242
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hapo ndipo hoja yako ilipofeli.Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Hakuna kitu kama hicho ccm haishindi kanda ya ziwa yooooteeee. Labda nje ya sanduku la kura. For sure wamekosea hesabu zaoHapo ndipo hoja yako ilipofeli.
Hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ya kuishinda ccm kanda ya ziwa. Chadema iliyokuwa na uwezo huo ni ile ya enzi za dr slaa, hii ya sasa hivi enzi za mr #dishlimetilt hakuna chochote. Matusi na uropokaji haviwezi kuwapa ushindi.
Itategemea mia SSH ataihandle vipi kanda ya ziwa, na wanassiasa wa huko kuanzia sasa mpaka 2025. Ccm itashinda siyo kwa sababu ya umaarufu wa SSH, bali kwa sababu ya umaarufu wa wanasiasa wake watokao kanda hiyo.
Wengine ni wagen wa siasa za tz so ucwaraumu !!!!Kwani lini ccm walishinda uchaguzi?
Akili fupi sana CCM ni chama cha kitaifa wala sio ya kikandaKwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hajajua bado labda umwambieCCM haihitaji Kura za yeyote ili ishinde uchaguzi wowote!! Amka Mkuu.
Wewe ni mpuuzi na mjinga, yaani kwa akili yako mbovu unajua watu wote ni wajinga sio? Hata ungekuwa wewe hivi unaweza chagua machadema uache ccm iliyowahakikishia wananchi huduma za afya,maji,elimu na barabara? Ukinijibu nitagKwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Nadhani anaota,nauliza tuu wewe unaweza chagua chadema Ili uvumbue nini hasa?Hapo ndipo hoja yako ilipofeli.
Hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ya kuishinda ccm kanda ya ziwa. Chadema iliyokuwa na uwezo huo ni ile ya enzi za dr slaa, hii ya sasa hivi enzi za mr #dishlimetilt hakuna chochote. Matusi na uropokaji haviwezi kuwapa ushindi.
Itategemea mia SSH ataihandle vipi kanda ya ziwa, na wanassiasa wa huko kuanzia sasa mpaka 2025. Ccm itashinda siyo kwa sababu ya umaarufu wa SSH, bali kwa sababu ya umaarufu wa wanasiasa wake watokao kanda hiyo.
Nje ya ccm hakuna chama ni heri hao hao ccm kuliko WahuniShida inaanzia hapa, Ndio CCM iko taabani je tuchague chama gani sasa kilichojipanga kushika dola? kushika dola sio bahati mbaya bali ni mipango na maadalizi yaliyokomaa..
yaani unataka uwape nchi hawa wazee wa matukio? chama kisicho na mipango ya kesho, chama kisicho na uongozi madhubuti kutoka juu mpaka chini huko...hapo ndipo wengi tunakosa option na kuamua kutopiga kura..