Mwanza sehemu gani nitapata kazi

Mwanza sehemu gani nitapata kazi

Wazo zuri sana mkuu me pia nlishajaribu kufanya ivy ila sasa changamoto yangu ni kubwa sana yani nina kamwili kadogo muonekano wa kitoto na mwaroni gunia lina kilo 40 na kila ukibeba moja ni shiling 50. Umenielew point yang hapo?
Shilingi 50 hii sarafu ya Kitanzania? Kwa nini Serikali wasiifungie hii biashara aisee!
 
Jifunze kupaka rangi za miguuni wakina Dada, kipaka rangi kubandika kucha, iyo itakusaidia kwa mda Fulani.
 
50 x 100 = 5000
Usidharau hela hata kama ni 1Tsh maana
Elfu tano haiwi 5000 bila kukusanya hamsini hamsini mia.
Hayo magunia mia unayajaza kwa mashine au mkono wako? Baadae kwa siku unakula shilingi ngapi? Hebu tuacheni kuwa na fikira za kutesa watu sababu hawana kazi
 
Hayo magunia mia unayajaza kwa mashine au mkono wako? Baadae kwa siku unakula shilingi ngapi? Hebu tuacheni kuwa na fikira za kutesa watu sababu hawana kazi
Mimi sijaongelea mtu kuteswa!
Nimejibu bandiko lako usidharau hela basi.

Kuhusu huyo anayetafuta kazi, yeye sijamuambia chochote ndo maana sikujibu bandiko lake.
 
Nikwel usemacho ila izo hesabu ebu waza unabeba gunia la kilo 40 kwa mwendo wa mita 80 unapewa 50 ili upate elf 5 itajubid ubebe gunia mia. Mim nina klo 48 itawezekana vipi
50 x 100 = 5000
Usidharau hela hata kama ni 1Tsh maana
Elfu tano haiwi 5000 bila kukusanya hamsini hamsini mia.
 
Back
Top Bottom