Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 21,709
- 51,123
Oooooh mpare jamani🤦🤦🤦🤦🤦@Lamomy njoo mchukue ndugu yako anachomoa betri😀😀
Nashukuru Sana
Oooooh mpare jamani🤦🤦🤦🤦🤦@Lamomy njoo mchukue ndugu yako anachomoa betri😀😀
Nashukuru Sana
Oooooh mpare jamani🤦🤦🤦🤦🤦@Lamomy njoo mchukue ndugu yako anachomoa betri
Unajijua kabisaa!na unajua Nina allergy ya mwanaume bahili😆Bahili wa taifa
Unajijua kabisaa!na unajua Nina allergy ya mwanaume bahili😆
Mambo nnayoyapenda hayo🤣🤣🤣Kwenye ubora wako
Hapo kungwi wamekugusa
Kesho Hatutaki thread humu za kutukandia wanawake hatunyoi🤣🤣🤣kivuruge wangu😆😆🙌
🤣🤣🤣🤣 Mi mwanaume mzuri wa Nini Sasa?mbona unanichanganyaUtakosa Wanaume wazuri kwa uroho wako wa pesa. Pumbafu
Huyo huyo!Kwanza anayemiliki EX wangu nani Sasa?mbona sielewi![]()


Missy Gf
Nashukuru Sana





Mwambie amtulize mtu wake 😏😏😏Missy Gf
Mambo nnayoyapenda hayo![]()



Mi mwanaume mzuri wa Nini Sasa?mbona unanichanganya



Sawa nitamwambia 😂😂😂Mwambie amtulize mtu wake 😏😏😏
Mzuri my foot!Kwanza wa kazi gani? Wanakuwa km wanawake wenzetu![]()
Siyo aya ni haya.Aisee!.
Hii imeenda. Aya kaliwe.
Wanawake aina yako ni mzigo kwa taifa.Black flan wa kuteleza
Mrefu kiasi, kanizidi manake mie nina cm 160
Hana kitambo, ana mwili wa mazoezi
Ana vindevu kiasi
Hana kovu lolote usoni
Halafu muda wote ana tabasamu
Na anaongea kwa kujiamini
That's just a lust not love.Hapana yani kule kujiamini kwake kama mwanaume kumefanya nimpende ghafla
Yaani alivyoniita kama demu wake vile, halafu alikuwa very calm