Ninayo ya kawaida, na ya kuchaji battery za magari.chukua mali mkuu
Kitu kinaweza kuwa na thamani kubwa, ila uhitaji wako wa hela ukafanya kikashuka thamani. Sijui umeelewa!kuna mdau hapo juu amelalamikia bei, vipi nimekosea kuuza hio mashine kwa mil 1?