Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
Pole mkuu, Huko Capripoint maeneo ya Idara, Na wale wa Ikulu na Hesawa wanayo?
johnmashilatu
johnmashilatu
Mkuu, Unasema ni kiashiria au kiashirio cha nini!?An indicator of poverty.
Maeneo hayo Sina taarifa mkuu. Hivi nakutana na mtu anagawa vipeperushi vya mwauwasa kuhusu mfumo mpya wa malipo ya Ankara za maji wakati hakuna maji!Pole mkuu, Huko Capripoint maeneo ya Idara, Na wale wa Ikulu na Hesawa wanayo?
johnmashilatu