mwanza mwanza

Nipo msibani sa hv marehemu tutamkumbuka kwa mengi

gonjwa hili tusipojihadhari tutakwisha, nshakwambia na wewe punguza kuparamia mijimama itakufikisha matatani
 
hahahaha. Njoo capri point huku

nafanya michakato ya kutimba maana nimebanwa mahala, mamaa wa nguvu aka mamaa wa samsung galaxy s2 aka host wetu kishanipigia nimemwambia nafanya michakato nitimbe pande hizo
 
nafanya michakato ya kutimba maana nimebanwa mahala, mamaa wa nguvu aka mamaa wa samsung galaxy s2 aka host wetu kishanipigia nimemwambia nafanya michakato nitimbe pande hizo

Teh teh teh!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…