Mwanza mvua zaanza kunyesha. Tunamshukuru mungu kupokea maombi yetu.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,942
18,666
Kweli Mungu ni mkubwa. Tulikutana pamoja katika viwanja vya furahisha kuombea mvua. Hivi sasa hali ya hewa imebadlika. Mvua zimeanza kunyesha sehem tofauti za mkoa wa mwanza ingawa sio nyingi kivile.

Wakulima Turudi sasa shambani tukalime tuache kulia njaa.
 
Wakulima waanze kupanda fasta kabla bwana yule hajarudi.

Akirudi inakata fasta...
 
wewe sidhan kama ni mkulima yaan rasha rasha kidogo unaita mvua alafu kama kupanda watu walishapanda na mahindi yakakauka sasa ivi wanalisha ngombe mashamba hamu ya kurudi kulima haraka haraka wataipata wapi fika sumve sehem ambayo ilikua famous sana kwa kilimo cha mahindi sasa ivi ni watu wanalisha ngombe mabua ya mahindi yaliyokauka na jua!
 
Bora inyeshe gunia la mahindi laki na elfu kumi! Chele elfu mbili kilo tena wameuchakachua na mchanga na chenga, ukinunua kilo tano tegemea nusu kilo ya mchanga na kilo ya chuya.
 
Sorry mimi huwa siamini eti kuna suala la kuomba Mungu alete mvua ili hali ni yeye aliyesema 'watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa' .

Nyie kama hamuoni umuhimu wa kuhifadhi mazingira na kutunza vyanzo vya maji, msitarajie kwamba mtaenda baadae mkamuombe alete mvua.
 
Usipuuze wajinga, haswa wanapokuwa kundi.
 
wewe sidhan kama ni mkulima yaan rasha rasha kidogo unaita mvua alafu kama kupanda watu walishapanda na mahindi yakakauka sasa ivi wanalisha ngombe mashamba hamu ya kurudi kulima haraka haraka wataipata wapi fika sumve sehem ambayo ilikua famous sana kwa kilimo cha mahindi sasa ivi ni watu wanalisha ngombe mabua ya mahindi yaliyokauka na jua!
Kwa kulima ni lazma kupanda mahindi?
 
Kweli Mungu ni mkubwa. Tulikutana pamoja katika viwanja vya furahisha kuombea mvua. Hivi sasa hali ya hewa imebadlika. Mvua zimeanza kunyesha sehem tofauti za mkoa wa mwanza ingawa sio nyingi kivile.

Wakulima Turudi sasa shambani tukalime tuache kulia njaa.
Yani maindi yangu ekar tatu yamekauka ndo iyo mvua inaanza kunyesha kisicho riziki hakiliki
 
Back
Top Bottom