12:45 mchana!!!? sijawahi ona huu muda,ukileta taarifa kwa lugha ya kiswahili hata muda tumia mfumo wa kiswahili yaani ungeandika saa 6:45 mchana SIKU NYINGINE USICHANGANYE MAFAILI
Na huwa hayawi mawe bali ni vipande vya barafu ambavyo vikitua chini vinayeyuka, nimeshashuhudia kama mara tano hivi, moja ilinikuta arusha mwaka 99 hiyo iliua ndege wengi sana