Mwanza mbona jiji lenu limeendelea sana

Wahaya wanapenda sifa sana mfno kuna mhaya alitembelea ndugu zake dar akasikia mke na bwana wanaitana my daring karudi kwao kajiona ameelimika kaanza kumuita mke wake my bukobaring yaan nae aonekana mjanja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
 
Hakuna muhaya mshamba asojua mtungi wa gesi....huyo kama sisio mnyaki ni msukima
 
Mkuu angalia foxy asije kukuambia shule mlienda kusoma ujinga maana
Mnyaki = mnyakyusa
Msukima=msukuma
Mkuu huyu foxy hapendi ujinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…