Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
- sihitaji mtu wa kunishawishi niwaamini.
Hizi zomea zomea hatuoni picha wala sauti za kuzomea
Mkuu chama,
Makamanda wa Chadema wanazidi kujichanganya Mkuu Molemo na Mohamedi Mtoi, walianzisha uzi na kusema Gazeti la Mwananchi ni maalumu kwa propaganda za CCM leo wanalitumia kama ushahidi.
Mkuu chama gazeti la Mwananchi limekuwa la Udaku siku hizi?
watakuja kukwambia wananchi walikuwa wanawashangilia maccm
Mkuu chama mimi nasimama na habari ya gazeti la Mwananchi hayo ya ndani ya mkutano siyajui mkuu wangu.
Information is Power Mkuu.
M
Awali Mangula alihutubia kwa dakika 5 tu kitu kilichowashangaza wengi na swala la msingi alilosema ni kwamba CCM imeleta maendeleo katika kipindi cha miaka 50 kwani zamani Mwanza ilikuwa na ghorofa moja tu la Bugando lakini sasa kuna 'Mabugando' mengi.
Source:Mwananchi Jumatatu.
Mkuu Ritz kwa leo Mwananchi limetoa habari bila kuichakachua kabisa.
Ninawataka Mwananchi waendelee na weledi huu wa kutoa habari bila upendeleo.
Mkuu chama mimi nasimama na habari ya gazeti la Mwananchi hayo ya ndani ya mkutano siyajui mkuu wangu.
Information is Power Mkuu.
Kama wewe lazima Ureseatok! sawa. mungu katuumba akili hatufanani.hata tukipewaq mtihani wengine wanapata 90% wengine wana reseat.
We endelea kusubiri video au picha hapa hapa zitakuja tu muda si mrefu lakini ukweli ndio huo kwamba magamba yalizomewa vibaya sana pamoja na kusomba wananchi kutoka mikoa ya jirani geita na simiyu kuwaongezea mahudhurio.
Ni maajabu lakini ndio ukweli wenyewe kwamba ccm imeshajiposition katika nafasi ya kuwa chama cha upinzani kwakuwa siasa wanazofanya sasa ni pure opposition party politics wakati wao wako madarakani. Badala ya kutumia muda wao kutekeleza ilani yao (ingawa haitekelezeki) wamejikita kuitangaza Chadema kila mkutano. Na sisi tunasema mwendo mdundo ccm endelea kutupatia free ride katika vyombo vya habari. Hadi tunafika 2015 ccm itakuwa imekata kauli inasubiri tu isareli ajinyakulie kilicho chake.
Wananchi walijipanga njia nzima msafara huo ulipopita huku wakionyesha ishara ya vidole viwili na zomeazomea ikishika kasi.
hivi vidole viwili maana yake ni nini?hivi hawa walikuwa ni wananchi wa kawaida au wanachama wa chama fulani walioamua kushabikia chame chengine?Wananchi walijipanga njia nzima msafara huo ulipopita huku wakionyesha ishara ya vidole viwili na zomeazomea ikishika kasi.