Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,198
- 7,539
kwani wewe unavyojua maendeleo ni nini?ina maana maenedeleo ni magorofa? Na hayo magorofa yamejengwa na serikali? Vilaza wa ccm ni wengi sana, sehemu kuna weza kukawa na nyumba zilizo ezekwa kwa majani lakini kukwa na maendeleo,
hahahahaha...mwananchi mara mnaamini stori zao mara mnaponda
...
CC LUMUMBA nyumba ya majangili
hii ya mabungando mengi imenichekesha kweli yaani ndiyo uwezo wao wa kufili umekomea hapo, watu wanataka maendeleo ya moja kwamoja unawaonyesha mabugando wakati milo mitatu tabu, elimu duni, afya duni, mahakamani hakuna haki, polisi wanatuwinda watuue badala ya kutulinda...
Asante sana mkuu Molemo! Hapa hadi siku nimeianza vyema.. Asante sana kwa taarifa.
hivi ndugu yangu, wewe ujuavyo maendeleo ni nini? Hebu tupe muongozo wa maana ya maendeleo maana inaonekana unafahamu vizuri juu ya hili!watanzania wa leo wameelimika. Huwezi kuwadanganya kwa kuongezeka kwa idadi ya maghorofa ambayo mengi yanamilikiwa na hao hao mafisadi.
Makamu Mkiti wa CCM Philip Mangula alionja joto ya jiwe mkoani Mwanza pale msafara wake ulipozomewa vibaya njia nzima tokea alipotoka uwanja wa nyamagana kwenye mkutano wa hadhara.
Aibu hiyo ya zomeazomea iliwakumba pia Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye.
Wananchi walijipanga njia nzima msafara huo ulipopita huku wakionyesha ishara ya vidole viwili na zomeazomea ikishika kasi.
Awali Mangula alihutubia kwa dakika 5 tu kitu kilichowashangaza wengi na swala la msingi alilosema ni kwamba CCM imeleta maendeleo katika kipindi cha miaka 50 kwani zamani Mwanza ilikuwa na ghorofa moja tu la Bugando lakini sasa kuna 'Mabugando' mengi.
Source:Mwananchi Jumatatu.
Kwahiyo maendeleo ni watu wachache wajenge maghorofa kwa hela za EPA MEREMETA na RICHMOND?hivi ndugu yangu, wewe ujuavyo maendeleo ni nini? Hebu tupe muongozo wa maana ya maendeleo maana inaonekana unafahamu vizuri juu ya hili!
Mkuu Molemo huyu babu anafikiri hizi ni zile enzi zake za Analogy na propaganda za Urusi na Bulgaria sasa hivi watu wanampa za uso tu
Halafu Ma DR kama wakina Mwakyembe na Magufuli wanamsikiliza!!! Huoni CCM ilivyo na Vichaa pamoja na DR wao?Aisee, this is very serious. Maendeleo = Mabugando? Hawa Magamba wameishiwa sera. Kama hawana cha kuhutubia, wanyamaze kimya kabisa. Watulie kimya. Sio kuhutubia mambo ya kipuuzi kama yale. Sasa hapo Mangula ndio amehutubia kitu gani? Amewaabisha Magamba wenzake.
hivi ndugu yangu, wewe ujuavyo maendeleo ni nini? Hebu tupe muongozo wa maana ya maendeleo maana inaonekana unafahamu vizuri juu ya hili!
Makamu Mkiti wa CCM Philip Mangula alionja joto ya jiwe mkoani Mwanza pale msafara wake ulipozomewa vibaya njia nzima tokea alipotoka uwanja wa nyamagana kwenye mkutano wa hadhara.
Aibu hiyo ya zomeazomea iliwakumba pia Waziri wa Uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe na Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye.
Wananchi walijipanga njia nzima msafara huo ulipopita huku wakionyesha ishara ya vidole viwili na zomeazomea ikishika kasi.
Awali Mangula alihutubia kwa dakika 5 tu kitu kilichowashangaza wengi na swala la msingi alilosema ni kwamba CCM imeleta maendeleo katika kipindi cha miaka 50 kwani zamani Mwanza ilikuwa na ghorofa moja tu la Bugando lakini sasa kuna 'Mabugando' mengi.
Source:Mwananchi Jumatatu.
Ina maana maenedeleo ni Magorofa? Na hayo Magorofa yamejengwa na Serikali? Vilaza wa CCM ni wengi sana, sehemu kuna weza kukawa na Nyumba zilizo ezekwa kwa majani lakini kukwa na maendeleo,
tabia ya mtu kumlaumu mwenzake kuwa anasema kitu kisichokuwa sahihi juu ya jambo halafu yeye mwenyewe hajui usahihi wake unatakiwa uweje ni uzandiki wa hali ya juu.ukilaza wa kwako, kwanini usumbue watu?