Kamanda Mawazo ndio nani?
hapakuwa na tatizo. Mkutano ulianza salama pia ukamalizika salama sana. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Mkuu hiki ni kifaa fulani cha maangamizi kinatifua mbaya; chenyewe ni pori kwa pori tu nadra sana kuonekana mijini; kikionekana kinaacha gumzo na taharuki.
Naona Kamandi Kuu (the Pentagon) imeamua kicheze na Kanda ya Ziwa zaidi. Hizi namba tatu - Lema, Mawazo, na Bananga ni noma. Wakuu, kama alivyoomba mdau hapo juu, tafadhali aliye na picha ya huyu Kamada atuwekee hapa.
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.
Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.
Adam Chagulani naye alikuwepo?
Mimi ninayo ya zamani akihutubia parade kama vice head prefect wangu pale Geita High School, vipi itafaa?
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.
Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.
Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.
Mawazo ni msela mmoja mwenye brain kubwa inayofikiria in a straight line! yoko_genuine sana
THANX TO ALLAH, hakukuwa na vitu vyenye ncha kali!
unamuulizia mfu katikat ya walio hai? Are you serious?
tatizo ni kwamba una assume. Mda mwngne inakubid utumie kichwa cha juu kuwaza. Kuwaza sio kazi ya masabu.ri
Wadanganye ambao hawaijui Mwanza huwezi kufunga barabara zote hizo kwa nusu saa.
Kutoka Capri Point mpaka uhuru ni mbali hapa katikati lazima upite barabara ya Kenyata, Karuta, Lumumba, Nyerere, Liberty, ndiyo ufike Uhuru, sijui zilifungwa vipi hizo barabara.
Karibu Mwanza mkuu Ritz ...napatikana mitaa ya Nera,unapapata?
Na wewe wadanganye ambao hawaijui CDM Mwanza kufunga barabara zaidi hata ya hizi kwa dakika 15 ni ktu cha kawaida sana
Ana mpango wa kuomba msamaha lakini,usijemkatisha tamaa kwa maneno makali kama haya kamanda
Nera napapata vizuri sana umezaliwa hapo au umeamia kuna watu wangu hapo.
Hahahaa amechekesha, wakati wenzake wapo eneo la tukio yeye anaasume.