BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
Mwanza bado sana, kwa swala la huduma ni bado sanaJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Kula ugali wa udaga kwa furu kijana.Acha kudeka.Au umetoka kusikiliza "mizique" ya Wazee wa Ngwasuma unaosema ule mkate?Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Haya mambo sijui ya brown bread, brown sugar, low fat milk etc Tanzania bado sana. Wengi tumeyajua tulipoenda majuu hivyo wengi ambao hawatoka yanawatesa. Kwa mfano ukienda dukani unasema nipe sukari na unapewa sukari yoyote.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Lengo sio mkate Ila Aya ya mwisho hapo Chini na bila Shaka wewe ni chalii ya Chuga.Juzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe
Sio kweli....royal oven ipo teleJuzi kati nilikuwa Mwanza, sasa huwa mimi sipatani sana na hivi vitu vilivyo kobolewa aunatakaga kupunguza, kwamba vingine basi viwe ni vile havijakobolewa kama ngano.
Nikauliza wenyeji wangu kwamba nitapata brown bread Mwanza? Wakaniambia ndio nini hio nikawaambia mikate ambayo ngano yake haijakobolewa, wakaniambia hawajawahi ziona na hawazijui, Ikabidi sasa nianze kuzunguka kwenye Siper Market ndogo ndogo zote hakuna, nikapata wazo la kwenda Rock city Mall, Kufika kule yaani ndio kabisa hata sataff hawaijui, nilichoka sana fikiria Jiji kubwa kama lile hakuna products kama zile.
Ikabidi ni nunue unga wa ngano wa Atta nikapike Chapati nyumbani.
Nikakumbuka Arusha au Dar mikate kama ile unakuta nayo maduka ya mitaani kabisa ukiachana na Super Markets.
Mwanza ni ukubwa tu ila ni jiji la kishamba sana hiwezi compare na Arusha au Dar, tuiacha Dar ni kubwa sana ila huwezi ilinganisha na Arusha kamwe.
Kweli ipo mingi sana Royal oven mpaka scones zake zipo. Labda aelekezwe hukoSio kweli....royal oven ipo tele
Kumbe mleta mada ana diabet mellitus ndo maana anabagu misosiHUU MKATE UNAWAFAA WENYE KISUKARI IRINGA IPO SANA SUPERMARKETS
Lakini mkate ni kitu kidogo sana...upatikanaji wake au ukosefu wake hauongezi chochote kwenye ukuaji wa mji.... Au?Endelea kujitekenya na kujifariji lakini ukweli mchungu ni kwamba Arusha mpaka Yesu anarudi haitakuja kuifikia Mwanza kamwe. Pole sana mwenye meno ya rangi kama kashata.