Mmh mbona hata mchana wapo kwenye hizo guest hapo hapo hao makahaba wa Mwanza Nyegezi ni wasitaarabu na wako peace sana, paka uwasogelea mwenyewe, hawatukani mtu wala kumkera kabisa.
Tena hawa wa mtaani hawachelewi kusema kondomu zinaniumiza , Sasa jiulize mko wangapi nani wangapi kawaambia kondomu zinamuumiza alaf wakaenda kavu bila hata kujua afya status ?
Ukweli ni kuwa, hawa wanajiuza ni more safe kuliko hawa wa mitaani kwetu na ni economically affordable, maana wanatoa huduma in package according to your affordability 🤷♂️