Mwanza City: The Photo Gallery

IMG_20200114_232210.jpg
 
Hii njia haina gari nyingi Sana kam njia ya kwenda Kisesa Toka town au Ile yakutoka town kupitia Nyegezi stand mpk usagara Huko!! Kwann wasiweke barabara 4 hii yakuelekea usagara toka town nyegezi buhingwa mpk Usagara ambayo kimsingi ni njia iliyobusy Sana!!!

Typed Using KIDOLE
Hiyo njia ina gari nyingi sana zakutosha... Ulishuhudia kadhia ilivyokuwa kipindi haijapanuliwa?
 
Back
Top Bottom