Uko sahihi mkuu...nilikir picha zote zimepigwa maeneo yaliyokaribiana...hilo ghorofa la bluu ndo limenichanganya sababu hata pale nera kuna jengo linataka kufanana na hilo....halafu itakuwa ilichukuliwa kutoka lile eneo la kupandia boti za kwenda saanane
Upo mkuu kulikuwa na mgogoro kidogo na wakazi wa eneo husika ila nimepita majuzi watu wamebomoa vimebaki vibanda vichache mbele ya barabara. Si unajua render imeshabadilika siyo ile iliyopostiwa humu pages za mwanzoni.