Please wekeni picha za ground level za Mwanza CBD streets nyingi mbalimbali za kutosha za jiji maana hizi za Aerial wakati mwingine hazionyeshi streets katika uhalisia wake. Aerial View ni nzuri kama unahitaji coverage ya eneo kubwa!
Halafu wakuu kule malaika beach resort kwa pembeni kuna maghorofa kama mawili matatu hivi yana rangi ya machungwa..... Nilipenda kufahamu ni ya nn,residential au ya ofisi fulani coz yamenivutia mno aisee,kuliko hata malaika yenyewe...
Wakuu nimepata picha yake...... Ni haya hapa majengo matatu kando ya malaika..... Yanavutia kiukweli kama ukiyaona..... Naomba anayeyajua anijulishe ni ya nn
Wakuu nimepata picha yake...... Ni haya hapa majengo matatu kando ya malaika..... Yanavutia kiukweli kama ukiyaona..... Naomba anayeyajua anijulishe ni ya nnView attachment 1296428
Ndio maana nikakwambia wewe ni kiazi, hii thread inazungumzia jiji la Mwanza we unakuja na mambo ya Arusha we mzima kiakili?
Arusha kuna five star hotels sasa inatuhusu nini kwenye thread ya Mwanza City Gallery?
Wakuu nimepata picha yake...... Ni haya hapa majengo matatu kando ya malaika..... Yanavutia kiukweli kama ukiyaona..... Naomba anayeyajua anijulishe ni ya nnView attachment 1296428