Hili jengo kulia siyo refu sana kama yale ya Kenyatta Road lakini still mi naona kama ndilo linalovutia sana Mjini Mwanza likiwa at par na lile la NSSF (Belmonte Hotel) pale Kenyatta Road. I stand to be collected though.
Morogoro bado sana na imepata kikwazo kingine kikubwa sana mkuu Dodoma imekuwa jiji hivyo morogoro itaendelea kuwa manispaa kwa miaka mingi sana ijayo.
.
Ni sawa na geita ilivyoiwahi kahama kuwa mkoa, kahama ipo karibu sana na geita hivyo na yenyewe itachukua miaka hata 70 kuwa mkoa