Nimegundua hzi kazi zinazodharaulika zinalipa sana ukiwa na malengo japo hazipo stable in the long run....!! nilioomaliza chuo nilikosa kazi, nikayumba sana....badae nikaanza kuuza vitabu mtaani nikitembeza..kazi ambayo ilinipatia more than 2mil with in 3months..na hapo nikapata mtaji wa harakati zingine..sa hv npo namalizia proposal ya multimillion project....nawashaur vijana hasa wasomi ambao wapo tu kitaa wafanye hzi kazi ili kufikia malengo yao...kwa kutafutia mtaji hzi kazi znatoa sana, hata ukonda tuu kama una malengo unatoka..tatizo hzi kazi wanafanya watu ambao hawna elimu, kuna jamaa alikuwa nafanya kazi ya kuchinja wanyama machinjion kwa siku anaingiza more than 100000...jamaa hata la saba hajapita ...ila hakujua namna ya kuwkeza mwisho wa siku yupo palepale ...angekuwa na elimu angefika mbali sana...anyway kikubwa ni malengo mana unaweza kuwa na elimu lakn ukawa boya pia