Mwanza City: The Photo Gallery

Pale sasasaba mzambarauni Kuna hotel inakuja speed, nafikiri ni ya mwamba mwenye ukumbi wa morning star. View attachment 3458702View attachment 3458703View attachment 3458705View attachment 3458704View attachment 3458706View attachment 3458707
Kwakweli upande wa Majengo Mwanza inajitahidi sana tatizo lililobaki ni Mipangomiji, Kila uelekeo unapoenda unakoenda watu wanashusha vitu sio kinyonge, Kukuta Nyumba ya Million Mia Uswahilini ni jambo la kawaida, Serikali waongeze nguvu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…