Mwanza City: The Photo Gallery

Naona Bukoba UDSM wamepewa hati...na washatenga zaidi ya billion 18 kujenga chuo kikuu...

Na watu wa vijijini Bukoba( sio mbali na Bukoba mjini) wanavyopenda elimu...washatoa eneo kubwa sana na mwezi wa tatu ujenzi unaanza...


Mwanza labda hawajapata eneo
 
Kwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
Hao watu ni wasafi na kwa plan za Nyerere Mwanza iliplaniwa sawa na Dsm kwa mbali,sema kidogo Barabara za kuingiza na Kutoka ni ndogo ila Airport road iko njema
 
Hao watu ni wasafi na kwa plan za Nyerere Mwanza iliplaniwa sawa na Dsm kwa mbali,sema kidogo Barabara za kuingiza na Kutoka ni ndogo ila Airport road iko njema
Shida treni tumeua kwa nguvu zetu wenyewe,hilo jini ilitakiwa watu waingie mjini kwa kutumia SGR city train na sio mabasi
 
Daraja litapendeza .swali langu ikitokea meli inataka kwenda upande wa pili wa daraja itapitaje Kwa sababu naona daraja kimo chake sio kirefu San
View attachment 2389165

Upande mmoja wa ziwa ni kama hauendeleii so hakuna matumizi ya meli. Sawa na daraja la kigamboni au daraja la coco beach.

Kwenda sengerema inakua upande wa kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…