Nimefurahi kuona Nyegezi wanakarabati bara bara zote upya za kuongia na kutoka nadhani soon stand inafunguliwa swali ni je pale palipo stand sasahivi yaani stand ya muda panaenda kuwaje??

Nilisikia pale patakuwa stand ya mabus ya huko mwanza wilayan sijui kwimba,ngudu,salawe pamoja na coaster na tata zinazoenda cjui Geita katoro biharamulo