Hakuna mradi wowote na NHC Mwanza, na ukisikia wanaleta mradi utakuwa ni uchafu tu, wamejaza mabanda ya maduka hapo katikakti ya CBD, unazan wana maana hao.Kwani hivi sasa NHC wanamradi mpya hapo Mwanza...?
Hayo mashirika yaishie huko huko Dar na dodoma yao wakija huku huwa wanafanya kuchafua tu miji.Umenikumbusha zile nyumba 500 zilizojengwa na ppf kule kiseke, upuuzi mtupu
NHC wana mradi gan wa maana tofauti na Victoria square....hata vijumba vya dodoma ni vya ajabu tuHayo mashirika yaishie huko huko Dar na dodoma yao wakija huku huwa wanafanya kuchafua tu miji.
Na ujenzi wa namna hii hauna gharama zozote ...wachukue billion 10 za kuhamisha na kulipa fidia watu ...watafute billion zingine kama 200 za kujenga hiz apartment..hela zinapatikana kupitiaSantorini.greece ... viongozi wetu hawaendi kujifunza bas hata smartphone zao haziwasaidii kuona haya..
NHC ,TBA,CITY COUNCIL.walikuwa na uwezo wa kuingia hata ubia na private sector wakajenga apartment kama hzi kwenye milima yote iliyopo city center..na apartment zote zingepata wapangaji ...
View attachment 2380027View attachment 2380028View attachment 2380029
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
😂😂😂 miradi mikubwa yote ni dar.NHC wana mradi gan wa maana tofauti na Victoria square....hata vijumba vya dodoma ni vya ajabu tu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Santorini.greece ... viongozi wetu hawaendi kujifunza bas hata smartphone zao haziwasaidii kuona haya..
NHC ,TBA,CITY COUNCIL.walikuwa na uwezo wa kuingia hata ubia na private sector wakajenga apartment kama hzi kwenye milima yote iliyopo city center..na apartment zote zingepata wapangaji ...
View attachment 2380027View attachment 2380028View attachment 2380029
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa mikoa km dar, dodom na arush huwez kuwabeza sanukilinganish na mwanzaNHC wana mradi gan wa maana tofauti na Victoria square....hata vijumba vya dodoma ni vya ajabu tu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabisa, utadhani kama hawa NHC huwa wanabifu na Mwanza.Kwa mikoa km dar, dodom na arush huwez kuwabeza sanukilinganish na mwanza
Dodoma wana mradi mmoja .unaitwa medeli town ...pale kidogo Pana uafadhali ....ila NHC Iko kizaman..katika masharika ambayo yako outdated ni NHC ..wana miradi amabayo haiendani na majiji kabisa ..anagalia nyumba 5000 pale kisasa ...Ni aibu Kwa makao makuu kujengewa vijumba vile ..... NSSSF Huwa wanajitahidi sana kwenye investment zao ......NHC mradi wao mmoja tu ndio mzuri .morroco square pale dar .Kwa mikoa km dar, dodom na arush huwez kuwabeza sanukilinganish na mwanza
Nadhn haw wako kibiashr zaid sabb yao itakua n uhitaj mkubw uliopo dar wa nyumb na wanauza san ukilinganish na population iliopo na little expensive ndo maan wanaangalia san kule,nmeon wameanz kujenga arush apartments more than ten floor buildings wanajua watu weng wanaofik arush n wagen wapo kw mda na wanaitaj nyumb km izo lkn wazungu na wagen kutok nchZa nje wanapend ivo, dodom pia coz nchi inahamia kule na uhitaj wa nyumb n mkubwa😂😂😂 miradi mikubwa yote ni dar.
Yaani..NHC hata wasije japokuwa walishawahi kuwa na mpango wa kujenga jengo refu kuliko yote mwanza ....acha watu na mashirika binafsi waje wawekeze .sio lazima serikaliKabisa, utadhani kama hawa NHC huwa wanabifu na Mwanza.
Walisem wanaanz na iyo mikoa 3 then watakuj mwanz kutokn na uitaj uliopoNadhn haw wako kibiashr zaid sabb yao itakua n uhitaj mkubw uliopo dar wa nyumb na wanauza san ukilinganish na population iliopo na little expensive ndo maan wanaangalia san kule,nmeon wameanz kujenga arush apartments more than ten floor buildings wanajua watu weng wanaofik arush n wagen wapo kw mda na wanaitaj nyumb km izo lkn wazungu na wagen kutok nchZa nje wanapend ivo, dodom pia coz nchi inahamia kule na uhitaj wa nyumb n mkubwa
em fikilia mwanz n mkoa ambao umekua haun investments kutok kwen mashirik meng hasa kwen nyumb za maoffice na nyumb za kuish (apartments ) piga pich ingekua kinyume chke kwmba mashirk yawekez unadhn ingekuaje...wote wanaitajik sanYaani..NHC hata wasije japokuwa walishawahi kuwa na mpango wa kujenga jengo refu kuliko yote mwanza ....acha watu na mashirika binafsi waje wawekeze .sio lazima serikali
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi hiz ni nyumba za kujenga mwaka 2022 ...kweli .. taasisi kubwa ya real estate..inajenga mji HIVi .then mnataman ije mwanza .. dodoma kama hawajaletewa mradi mwingine bas wamepigwa aisseeWalisem wanaanz na iyo mikoa 3 then watakuj mwanz kutokn na uitaj uliopo
Uwekezaji upo..Kwan nssf ,psssf ,si wana majengo makubwa tu ya kibiashara.. psssf Hadi wamejenga mall kupitia LAPF ,hata NHC wana nyumba buswelu ,..lakin sio lazima wao waje wajengee.kikubwa tunahitaji private sector ndo wana vitu vizuri kuliko publicem fikilia mwanz n mkoa ambao umekua haun investments kutok kwen mashirik meng hasa kwen nyumb za maoffice na nyumb za kuish (apartments ) piga pich ingekua kinyume chke kwmba mashirk yawekez unadhn ingekuaje...wote wanaitajik san
Km umeangalia miji ming hap nchin NHC wana viwanja ving San katkat ya miji na majengo meng maoffice na apartments ila n majengo ya mda san yalikua mazur kipind icho kulingan na kipind icho ila sas hayaonekn km yanafaa na hayaendan na kipind hiki kwhio n swal la wao kujenga upya au kufany innovation ili yaendane na miji ya kisas au kipind hiki....ila uksem wasje meanz yale magofu na ivo viwanja vibak katkt ya mji namuonekn huo unaouona sasYaani..NHC hata wasije japokuwa walishawahi kuwa na mpango wa kujenga jengo refu kuliko yote mwanza ....acha watu na mashirika binafsi waje wawekeze .sio lazima serikali
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hizi nyumba n Za bei nafuu na ilikua phase 1 phase 2 n nyumba za gorofa 4 km umeonaHivi hiz ni nyumba za kujenga mwaka 2022 ...kweli .. taasisi kubwa ya real estate..inajenga mji HIVi .then mnataman ije mwanza .. dodoma kama hawajaletewa mradi mwingine bas wamepigwa aisseeView attachment 2380059View attachment 2380060
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Waingie ubia na wawekezaji...juzi nilisikia wamezindua ubia na private sector.labda hapa ndo watachangamka na kuja na vitu vizuri.otherwise investment scheme zao haziihitajiki Karne hii .hayo majengo yamilikiwe kupitia mfuko wa REITs yaani real estate investment trust Kwa kushirikiana na DSE watu wanunue hisa za umiliki wa property za NHCKm umeangalia miji ming hap nchin NHC wana viwanja ving San katkat ya miji na majengo meng maoffice na apartments ila n majengo ya mda san yalikua mazur kipind icho kulingan na kipind icho ila sas hayaonekn km yanafaa na hayaendan na kipind hiki kwhio n swal la wao kujenga upya au kufany innovation ili yaendane na miji ya kisas au kipind hiki....ila uksem wasje meanz yale magofu na ivo viwanja vibak katkt ya mji namuonekn huo unaouona sas
Si kama za medeli pale ...au..kwani ukijenga apartment nzuri hata kama sio za ghorofa haziwezi kuwa bei nafuu ..mbona nchi nyingine wa bei nafuu ndo wanakaa maghorofani sasa ..Hizi nyumba n Za bei nafuu na ilikua phase 1 phase 2 n nyumba za gorofa 4 km umeona