Mwanza City: The Photo Gallery

Mwenye kuyajua haya maeneo anisaidie masemele,lukobe,nyamwilolelwa anisaidie ndo maeneo,kabusungu,isanzu,kakebe anisaidie ndo maeneo ambayo sijafika jiji la mwanza
 
Mwenye kuyajua haya maeneo anisaidie masemele,lukobe,nyamwilolelwa anisaidie ndo maeneo,kabusungu,isanzu,kakebe anisaidie ndo maeneo ambayo sijafika jiji la mwanza
Panda gari za ilalila utafika masemele, kabusungu, isanzu nauli ni buku tu baaada ya 600 ile ya dala dala, panda gari za shibula utafika nyamilolelwa shibula na utakua unapaona lukobe!! Kwa ufupi hayo maeneo yote yamesha jengeka, eneo linalovutia zaidi na bado nikipori kidogo ni isanzu wahi viwanja bado nikamseleleko na nivikubwa sana
 
Hakika mkuu slowly ata supermarkert haifai kabisaa, kwamba hiwe garage ya ndege🤣🤣🤣🤣🤣
 
Isanzu si ndo kuna hospitali ya wilaya
 
af baada ya nyegezi ni nyamhongolo ila mpk watoe yale matope getini 😄😄
Watoe kwanza zile vumbi na matope yanayokuja kipindi cha kiangazi, kwasasa list yangu ya stendi bora Tz ni
1. Mbezi louis(jpm)
2.stendi ya nyegezi
3.stendi ya msamvu(moro)
4.stendi ya dodoma
5 stendi ya nyamhongolo.** wakitoa mavumbi na matope watapanda adi nafasi ya tatu.
 
Hv msamvu imeizid Dodoma stand?
 
TAA wanataka kujenga jengo lao la 32bilion lakini serikali ya mkoa wa Mwanza wanaona hawatafaidika na mapato yatakayopatikana, sasa TAA waliomba hilo jengo liwe supermarket wao waanze ujenzi wao hivi soon.

Hapo ndio kuna kuwa na vuta nikuvute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…