Hivi hawa halmashauri ilikuwaje wakakubali kupokea hii stendi? Picha ya mchoro inaonesha kuna stendi ya daladala ikiwa paved na lami pote lakini wanakuja kukabidhi stendi ya vumbi tupo hapo nje na mvua zinakuja itakuwa ni stendi ya tope, japo majengo yapo so hot lakin mazingira ni ovyo sana, pia njia ya kuingia na kutokea ni moja, hii stendi naipa star rate ya 2.5 kwa kweli ni ovyo sana. Stendi ya nyegezi naipa star rate ya 4.5 ni nzuri kila idara jiji la mwanza wapo vizuri na wapo makini kwenye ufatiliaji๐๐
Mohamed builder anachelewesha sana miradi yake .ila wadau stand ya nyegezi ni 15.9 ila ni nzur ukiingia ndan had raha ilemela waliwapa kandaras kampun ya china kwa hyo hela bilion 26 wangempa mohamed builder wangejengewa bonge Moja la stand
Hivi hawa halmashauri ilikuwaje wakakubali kupokea hii stendi? Picha ya mchoro inaonesha kuna stendi ya daladala ikiwa paved na lami pote lakini wanakuja kukabidhi stendi ya vumbi tupo hapo nje na mvua zinakuja itakuwa ni stendi ya tope, japo majengo yapo so hot lakin mazingira ni ovyo sana, pia njia ya kuingia na kutokea ni moja, hii stendi naipa star rate ya 2.5 kwa kweli ni ovyo sana. Stendi ya nyegezi naipa star rate ya 4.5 ni nzuri kila idara jiji la mwanza wapo vizuri na wapo makini kwenye ufatiliaji
Nyegezi pale kwny parking ya magari madogo pako kama gorofan halafu lango la kuingilia pako chini af kingine nasikia halmashauri ya ilemela wameshatenga bajet kwa ajili ya kujenga stand ya daladalaHivi hawa halmashauri ilikuwaje wakakubali kupokea hii stendi? Picha ya mchoro inaonesha kuna stendi ya daladala ikiwa paved na lami pote lakini wanakuja kukabidhi stendi ya vumbi tupo hapo nje na mvua zinakuja itakuwa ni stendi ya tope, japo majengo yapo so hot lakin mazingira ni ovyo sana, pia njia ya kuingia na kutokea ni moja, hii stendi naipa star rate ya 2.5 kwa kweli ni ovyo sana. Stendi ya nyegezi naipa star rate ya 4.5 ni nzuri kila idara jiji la mwanza wapo vizuri na wapo makini kwenye ufatiliaji๐๐
lakin pesa ya kawaida unapata mrad mzur hebu chek nyegez 15.9 nyamhongolo ni 26bn zimetofautiana nn sasaMohamed builder anachelewesha sana miradi yake .
Nyamhongolo ni stendi mbili eneo Moja...Kuna stendi ya malori na stendi ya mabus ..ndio maana ni bilioni 26lakin pesa ya kawaida unapata mrad mzur hebu chek nyegez 15.9 nyamhongolo ni 26bn zimetofautiana nn sasa
Kwenye mradi barabara hazimo ...na niliwahi msikia mkuu wa wilaya ameomba barabara zijengwe ,na akasema wameshakubali Kwa hyo Hilo halina ubishi...sasaa pale nyegezi daladala zinapaki wapi?Sema nyegezi nao bado hawajaanza kurekebisha barabara ya kuingilia na ya yakutokea ya zaman maybe watatumia Lami hzohzo
Nafikir mule ndani ila patakuwa fujo sana manake kuna parking ya magari madogo 80 tuKwenye mradi barabara hazimo ...na niliwahi msikia mkuu wa wilaya ameomba barabara zijengwe ,na akasema wameshakubali Kwa hyo Hilo halina ubishi...sasaa pale nyegezi daladala zinapaki wapi?
Nyegezi pale kwny parking ya magari madogo pako kama gorofan halafu lango la kuingilia pako chini af kingine nasikia halmashauri ya ilemela wameshatenga bajet kwa ajili ya kujenga stand ya daladala
๐๐๐ mkuu sio kusifia hile stendi ya nyegezi ni habari nyingine mkuu huwezi kulinganisha na stendi ya ilemela๐๐๐..nilijua tu mgeni lazima asifiwe ..ila twende mbele turudi nyuma .. tatizo sio mkandarasi tatizo ni halimshauri wenyewe..mradi wa kwenye mchoro ulikuwa na thamani ya bilioni 28 lakin halmashauri wakaja kufanya discount ya bilioni 2 na kuondoa baadhi ya vitu vya kwenye mchoro..sasa jiulize hyo bilioni 2 ni vitu Gani ilitakiwa ifanye ,,,ndo hvyo tunavyolalamikia sa hv
Ngoja nikuambie kitu unaweza kulaumu mkandarasi lakini tatizo kubwa na malipo mkuu kama hujui, pesa zinaletwa kwa kusuasua we unazani watafanya nini? Stendi kwa sasa ipo 98% lakini malipo yao adi sasa ni 65% angalia hapo mkuu.Mohamed builder anachelewesha sana miradi yake .
Watakachofanya ni kuzipanua na kuziremba tu.Sema nyegezi nao bado hawajaanza kurekebisha barabara ya kuingilia na ya yakutokea ya zaman maybe watatumia Lami hzohzo๐๐
Mkuu kuna parking ya magari madogo ikiwemo daladala na coaster, uzuri wa haya magari ni kushusha abiria na kupakia abiria na kusepa, pia huwa hayachelewi me naona sehemu ni kubwa na inatosha sana.Kwenye mradi barabara hazimo ...na niliwahi msikia mkuu wa wilaya ameomba barabara zijengwe ,na akasema wameshakubali Kwa hyo Hilo halina ubishi...sasaa pale nyegezi daladala zinapaki wapi?
Hakutakuwa na fujo kama kule kwenye fujo la vumbi na tope kule nyamhongolo๐๐๐Nafikir mule ndani ila patakuwa fujo sana manake kuna parking ya magari madogo 80 tu
Uzuri uliouona wewe nazani ni wa vioo ila kwa vigezo vya kimataifa hamna kitu hapo kwanza hakuna partitions zinazotakiwa kwaajili ya sehemu mbalimbli, ni kama vile li hall la chakula shule za boarding ili jengo nalipa nyota 1.1๐๐๐๐Napenda kutofautiana na wengine.
Hili jengo ni zuri sana angalia airport nyingi Hata hapa kenya tu majengo yao ni mabaya sana.
Kwa nilivyomsikia mkuu wa mkoa mpaka kukamilika litatumia 22B ikiwa ni pamoja na vifaa
Ujenzi wa terminal 2 tunaweza pigwa kwa sababu zifuatazo.
Kipindi cha Jpm walisema litajengwa jengo kubwa la size ya terminal 2 ya dar.
Je 32B utaweza jengo kama la terminal 2 ya dar? Hili tunalolikandya linatumia 22B je tofauti ya 10B itatupa kitu kizuri kweli.
Nina wasiwasi wamescale down ukubwa wa jengo kama kweli bajeti ni 32B.
Au hiyo ni bajeti ya jengo bila vifaa?
Mkuu hujui majengo yanavyojengwa duniani kwa sasa, hilo jengo halijaisha ngoja lifanyiwe partition, kwa mawazo yako unafikiri hapo ndio limeishaUzuri uliouona wewe nazani ni wa vioo ila kwa vigezo vya kimataifa hamna kitu hapo kwanza hakuna apartments kibao zinazotakiwa kwaajili ya sehemu mbalimbli, ni kama vile li hall la chakula shule za boarding ili jengo nalipa nyota 1.1๐๐๐๐
Nyegez kuna kumbi 2 za abiria lkn nyamhongolo hamnaUzuri uliouona wewe nazani ni wa vioo ila kwa vigezo vya kimataifa hamna kitu hapo kwanza hakuna apartments kibao zinazotakiwa kwaajili ya sehemu mbalimbli, ni kama vile li hall la chakula shule za boarding ili jengo nalipa nyota 1.1๐๐๐๐
Hilo jengo nalijua mkuu hakuna jipya hapo utakuja kuniambia uzuri kijiwe chetu cha ghahawa ni hiki hiki๐๐Mkuu hujui majengo yanavyojengwa duniani kwa sasa, hilo jengo halijaisha ngoja lifanyiwe partition, kwa mawazo yako unafikiri hapo ndio limeisha