Ujenzi wa soko jipya la kisasa kirumba umeshika Kasi sana baada ya soko la mda la magomeni kuelekea ukingoni kuisha kwa tathmini niliyoifanya frame za maduka kuzunguka soko zipo 120 nusu zimeisha na nusu zipo kwny hatua za lenta baadh ya watu wameanza kufanya biashara kwny frame zao zikiwemo butcher 5