Mwanza City: The Photo Gallery

Igudija ndo wap
Duh huku nako ni wapi?
Nakumbuka Kuna jamaa nilimwambia anunue Kiwanja Nyasaka, mwaka 2010 akawa anaonq Ni Porini sana.

Enzi hizo, Mjini inaishia Nyegezi, Nyakato, Igoma, Pasiansi.

Sasa hivi Nyasaka hapagusiki. Amenunua Igudija
Mji unakua kwa haraka sana.
Master plan mpya ime extend CBD mpaka mabatini, upande wa Airport ni mpaka kona ya bwiru, kenyatta Road ni mpaka mkuyuni.
Za chini chini nilizozipata ule mradi wa kuhamisha watu milimani upo na mipango inaendelea kichinichini
 
Kwa mbele yake Kuna mtaa unaitwa kanyerere Nina site yangu huko. Wakipitisha Barbara mbona watanisaidia sana kusukuma mbele plan zangu.
Tujipange tutafute vya milimani kwenye lake view sasa, ila naona karibia milima yote muhimu imeshikwa
 
Kuna ile view ya milima ya bwiru mtambaa kuelekea mihama hadi ibanda kukoje kule kwa sasa,,? Maana tangu nitoke Mwanza kitambo kidogo kimepita kama miaka 15 au zaidi ningependa kujua kwa wanaofahamu nakisia tu panatosha kuwa Hollywood ya Bongo kule
 
Kuna ile view ya milima ya bwiru mtambaa kuelekea mihama hadi ibanda kukoje kule kwa sasa,,? Maana tangu nitoke Mwanza kitambo kidogo kimepita kama miaka 15 au zaidi ningependa kujua kwa wanaofahamu nakisia tu panatosha kuwa Hollywood ya Bongo kule
Kule maeneo bado yapo ila ni mkasi sana. Kupata kiwanja bila 35m na kuendelea sio rahisi. Niliulizia mitaa ya Ibanda Kirumba hapashikiki vigogo wameshika tayari.
 
moja ya sehem nimefika mwanza nikashangaa imetelekezwa, nchi za watu hili eneo ni hot sana, but mwanza wameliacha tu kama hawalioni!! Hata kuanzia nera mpka clinic pale napo pametelekezwa tu, huu mji tunaviongozi kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…