Mkuu utakuwa haupo vizuri kwenye measurements๐๐, umbali kutoka ilipo stendi ya nyamhongolo kupitia nyamadoke adi buswelu round about ya kutokea kiseke sio umbali wa kitoto mkuu.Hv kutoka nyamhongolo hadi buswelu ni km 9 ,,,mbona umbali kama sielewi kwa sababu kutoka national hadi buswelu ni km 5 wakati national huwa napaona ni mbali kuliko nyamhongolo
Inafika adi hospital ya wilaya ya ilemela, Kabusungu kupitia Ilalila.Oky ..hvi ile lami inayojengwa kutoka round about ya halmashauri kupita kahama inaishia maeneo gani.maana nataka ninunue kiwanja maeneo ya huko
Mji utapendeza sana, fursa za kibiashara zitafunguka. Hayo maeneo yana watu wengi sana na ndio biashara yenyewe.Pia barabara ya igoma,kishiri, buhongwa nasikia mwezi wa saba inaanza kujengwa
Hii barabara ipI Boss?
Kuna mwenye michoro ya Buzuruga commercial complexTunaisubiri Buzuruga commercial complex, itabadili sana muonekano wa Buzuruga
Hiyo ya Airport wameanza kuweka taa na nguzo kwa ajili ya kusimikia taa zimefika iloganzalaHii barabara ipI Boss?
Hiyo naona bado haija leak, tutaipata tu humu, wadau huwa hawatuangushi ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Ku
Kuna mwenye michoro ya Buzuruga commercial complex
Hiyo ya Airport wameanza kuweka taa na nguzo kwa ajili ya kusimikia taa zimefika iloganzala
Maeneo ya Ihalalo / Kabusungu maeneo mengi bado yapo wazi. Kama huo mpango wa investiment center hupo. wadau ndio sehemu za kushika maeneo huko. Naimani bado bei itakuwa ya chini sana bado. Labda kama maeneo tayari yapo chini ya Taasisi kubwa.Ilemela wako vizuri, mipango yao kwa bajeti ijayo inatia moyoView attachment 2272492
Lami inaelekea kufika ilalilla sio molamuHivi ujenzi wa barabara Buswelu - Kahama - Ilalila unaendelea? wanaweka lami au molamu tu?
na kijiwanja changu huko, tuko kwenye process za kupimiwa na kupewa Hati milikiLami inaelekea kufika ilalilla sio molamu
Nyamagana wamelala sana, nazani hii nguvu ya Ilemela inatokana na mama yetu Angelina Mabula ana fight sana.Nyamagana sijua wanafeli wapi ,au geographical feature inawaangusha milima milima...yaan sioni project za ujenzi wa barabara ukilinganisha na ilemela ,,,,,,hadi mkuu wa mkoa aliwasifu ilemela wako vizuri na hati yao ya CAG iko poa ...
Barabara ya kwenda kanyerere kutokea mkuyuni ina watu wengi sana na inaunganisha hadi Nyakato , Igoma.lakini kuna vumbi na magari ya kule yanajaza hadi kero kwa sababu ya uchache unaosababishwa na ubovu wa barabara .
Mahina ni eneo kubwa sasa mjini kuna watu wengi lakini pametengwa kama sio mwanza ,kule ni shida tupu kuanzia barabara,huduma za umeme na maji kidogo sa hv ..
Luchelele nako kumetengwa hadi watu wanasema ile ni kigamboni ya mwanza
Safi sana, ukizingatia pia Kayenze itakuwa the satellite city.na kijiwanja changu huko, tuko kwenye process za kupimiwa na kupewa Hati miliki
Angelina anaupiga mwingi, pia nadhani nguvu yake ya ushawishi kwenye serikali ya awamu ya tano na sita.Nyamagana wamelala sana, nazani hii nguvu ya Ilemela inatokana na mama yetu Angelina Mabula ana fight sana.
Mabay flyovers zinahusika, traffic light huwa zinaongeza jam. Kwenye bajeti ya mwaka 2022/23 pesa kwa ajili feasibility study kwa ajili ya ujenzi wa Mabay flyovers kwa Mwanza, Dom na Dsm ipo. kuna maeneo kama Buzuruga, Pasiansi/ Nyakato Junctions litahusika dudePia wameweka traffic lights maeneo ya Mwaloni,Nata, nyakato sokoni na maeneo yanayofata ni mlango mmoja, igoma kona ya kishiri, sayona kona kwenda buswelu maana ajali zimekuwa nyingi kwenye makutano ya barabara hizo pia mpishano wa magari pia
Naona barabara ya kenyatta road imesahaulika sana jamani ...na imeisha choka kabisaMabay flyovers zinahusika, traffic light huwa zinaongeza jam. Kwenye bajeti ya mwaka 2022/23 pesa kwa ajili feasibility study kwa ajili ya ujenzi wa Mabay flyovers kwa Mwanza, Dom na Dsm ipo. kuna maeneo kama Buzuruga, Pasiansi/ Nyakato Junctions litahusika dude
Hapa wametisha sana ,nata kulikua na usumbufu mkubwa sana, na mwaloniPia wameweka traffic lights maeneo ya Mwaloni,Nata, nyakato sokoni na maeneo yanayofata ni mlango mmoja, igoma kona ya kishiri, sayona kona kwenda buswelu maana ajali zimekuwa nyingi kwenye makutano ya barabara hizo pia mpishano wa magari pia
Inafumuliwa yote mpaka Shinyanga 104km, 4 ways 25km kutokea mjini mpaka Usagara. Kwenye bajeti ya wizara ya ujenzi nimesikia ikiongelwa. Ni suala la muda na fedha tu.Naona barabara ya kenyatta road imesahaulika sana jamani ...na imeisha choka kabisa
Hii itachukua mda, na ukizingatia nchi yetu kila siku mambo yanabadilika kutokana na uongoziMabay flyovers zinahusika, traffic light huwa zinaongeza jam. Kwenye bajeti ya mwaka 2022/23 pesa kwa ajili feasibility study kwa ajili ya ujenzi wa Mabay flyovers kwa Mwanza, Dom na Dsm ipo. kuna maeneo kama Buzuruga, Pasiansi/ Nyakato Junctions litahusika dude
Hatari sana, mji unakuwa lakini uwekezaji kwenye miundo mbinu ndio changamoto.Hii itachukua mda, na ukizingatia nchi yetu kila siku mambo yanabadilika kutokana na uongozi